mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,468
- 431,957
Kabisa mkuu umemtaja hapo Muhidin Kimario RipHawa Wazee kwny ujana wao walikuwa sio Watu wa Mchezo ni Watu Hatari sana sema utu uzima unawafanya tuwaone Kama Simba Wazee
Huyu alikuwa anaitwa kamanda mbogo hatari sana kwenye medani za kivita