kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 13,965
- 26,152
itakusaidia nini asa mkuu?hivi huyo mahiga ni kabila gani kwa anayefahamu wakuu?
itakusaidia nini asa mkuu?hivi huyo mahiga ni kabila gani kwa anayefahamu wakuu?
Mkuu asante kwa historia nzuri ila kwa kumbukumbu za wahenga agustino mahiga hajawahi kuwa mkurugenzi Tiss , alikaimu miaka ya vita vya kagera ila cheo chake sahii kilikuwa director of research and training , hakuthibitishwa kuwa mkuu wa idara....... Sawa balozi George madafa alikaimu ukurugenzi mkuu na unaibu kipindi cha Jk na Jpm..Wengi tu hawakuhudhuria kwa sababu kadhaa!
Hata Augustine Mahiga ( Waziri wetu wa Mambo ya Nje) kuwa Mkuu wa Usalama wa Taifa lakin hakuhudhuria Mkutano huo!
Kwenye ile Kesi ya Uhaini ya 1983 Shahidi Muhimu aliekuwa anatambulika Kama Mr X alikuwa ni Balozi Augustine na ndie alietibua Mpango ule wa kumpiga Bomba Mwalimu Nyerere Kanisani St Peters Ostybay
KabisaYeye si Alisha tangaza nia ya kuingia magogoni...jamaa anamtreat kama rival wake..mzee kipara ana mentality za kishamba!
nina uhakika mkuu.niamini.Sasa mbona tena wana ' Eagle Wing House ' mnajichanganya wenyewe kwa wenyewe Kimaelezo na mnatuchanganya na sisi pia?
Matusi ya nini Ndugu,
huu ni Mjadala wa jumla kuna Vitu tunawaeleza Juniors na kuna Vitu tunapata kutoka kwa Wataalam,
kufoji kwake vyeti vya Matibabu ya Mkewe hakufanyi tusijifunze na kutambua role ya Usalama wa Taifa kumdhoofisha Iddi Amin Kabla ya Vita,
Sifa zote za Ushindi wa Vita vya Kagera huwa tunampa General Twalipo na Makamanda wengine na kusahau role ya Usalama wa Taifa chini ya Dkt Hassy Kitine,
Kama kosa la Mtu linaharamisha kusifiwa kwa Mengine Mazuri aliyofanya Basi Hakuna Binadamu anaepaswa kusifiwa kwa kuwa Hakuna Mkamilifu
duuhKwenye ujasusi Mkuu... Anapenyeza vijana wake katika kila nchi ya Afrika mashariki..
Sent using Jamii Forums mobile app
nina uhakika mkuu.niamini.
Hawa wanafaidi vipi keki ya taifa mkuu? Elezea.Sawa ngoja nijitahidi na nijilazimishe Kukuamini Mkuu. Ila hongera sana kwa kuwa mwana ' Eagle Wing House ' Mkuu kwani nyie ndiyo wenye nchi bhana na mnaila nchi kweli kweli. Ngoja Mimi nibaki tu na hizi Kazi zangu Kuu tatu za Ukulima, Ufugaji na Uvuvi.
Mzee Mwanguku alistaafu kwa mujibu wa sheria...nilimuona Mzee Mwanguku mstaafu wa Magereza naye amealikwa.
..Mwanguku ni wa zamani labda aliondoka Magereza kabla hata Mzee Mwinyi hajaingia madarakani. Sina uhakika lakini.
..Pia sina uhakika kama alistaafu mwenyewe au kuna mtikisiko ulitokea akalazimika kujiuzulu. Naomba unikumbushe kuhusu suala hili.
NB.
..IGP Philemon Mgaya, Gen.David Musuguri, Gen.Marwa Waitara, na Col.Hassy Kitine,.ndiyo wastaafu ambao hawakuhudhuria.
..Inawezekana wanasumbuliwa na matatizo ya utu uzima.
Cc Pascal Mayalla
Uko sahihi kabisaMkuu asante kwa historia nzuri ila kwa kumbukumbu za wahenga agustino mahiga hajawahi kuwa mkurugenzi Tiss , alikaimu miaka ya vita vya kagera ila cheo chake sahii kilikuwa director of research and training , hakuthibitishwa kuwa mkuu wa idara....... Sawa balozi George madafa alikaimu ukurugenzi mkuu na unaibu kipindi cha Jk na Jpm..
Haikuwa kweli, lile lilikuwa zengwe la Frederick Sumaye.
Na alifanikiwa kutoboa puto la matazamio ya kugombea urais la Kitine.
But as karma would have it, Sumaye sasa hivi anakula mabua,
..mbona wengine wanasema alifanyiwa mzengwe na WANAMTANDAO.
..na Membe ndiye aliyetumwa kumlipua bungeni?
..Kitine alishindwa ubunge na jamaa wa NCCR.
..baadaye ikatokea nafasi iliyokuwa wazi kutokana na kifo cha Tuntemeke.
..Kitine alikwenda akagombea na kushinda. Baada tu ya matokeo kutangazwa Mkapa akamteua Uwaziri.
..sasa waliokuwa wanautamani Uraisi wakaona Kitine atakuja kuwa too powerful ndiyo wakaamua kuilipua upya na scandal ya mke wake.
Hawa wazee walifundwa na wakafundika. Sio hawa unawachukua UVCCM tena sio UVCCM yakina Lukuvi, Kikwete nk. Hawana busara za uongozi, akishakuwa kiongozi, lugha za staha kwa watu wanazikosa.
Sent using Jamii Forums mobile app
othman ulimuona?Kama nakumbuka sawasawa Mzee Kitine aliwahi kuwa mkuu wa kitengo chetu pale Eagle house. Sikumwona kwenye picha. Najua wana E
nasubiri jibuKabla ya ulizo lako,ulijiridhisha km hakuwa na dharula yeyote?!