Mbona Hassy Kitine hakualikwa/hakuhudhuria?

Mbona Hassy Kitine hakualikwa/hakuhudhuria?

Umemsahau JOKA LA MDIMU aliuyetibu hii issue kule bungeni na ikamfanya JOKA LA MDIMU ajulikane nchi nzima ingawa hakuwa anajulikana kokote.

Kumbe JOKA LA MDIMU naye alikuwa anawania urais na inasemekana zile hela zilizokamatwa kule Dodoma zilikuwa ni rushwa toka kwa JOKA LA MDIMU na jamaa zake ambako mmoja sasa hivi yuko mahabusu ameota ndevu na kuna vyuma kwenye mwili wake.
Kumbukumbu zako ziko sahihi mno nikweli "JOKA LA MDIMU" ndiye aliyeshiriki kuratibu kikamilifu Jungu lile dhidi ya Hassan Kitine.
 
Sio stori za form two, tatizo kuna watu ukiambiwa uwezo wao akili yako lazima ikatae!

Ukisikia mtu ni jasusi basi tambua kuwa jasusi anao uwezo mkubwa kuliko mwanajeshi na siku zote kazi za ujasusi duniani kote wanafanya watu wenye akili sio ya kawaida na uwezo wa hali ya juu.


Unaweza kushangaa lakini ndio hivyo . Mtu ukisikia ni jasusi wa usalama wa taifa basi muogope!

Sent using Jamii Forums mobile app
Inakuaje jasus anakuwa na akili KUBWA,rais ana akili ndogo?

May Allah bless Me and You
 
Kuna siku moja niisha wahi kumskia anahojiwa, anasema alisha wahi kuwaokoa watanzania sijui nchi gani ilikuwa na vita

Huyu ndiye waziri ataye baki kwenye baraza la mawaziri 2020...
UN-envoy-mahiga1.jpg
Itakuwa Somalia

May Allah bless Me and You
 
Siyo Marekani ni Canada na ule mchoro aliyeustukia ni Bernard Membe na inasemekana Kitine alikuwa akishirikiana na fisadi Mkapa kuwaibia walipa kodi billions kwa kisingizio ile pesa ni kulipia gharama za matibabu wakati bi dada alikuwa mzima kabisa wa afya na ndiyo sababu ya fisadi Mkapa kumchukia Bernard Kamilius Membe kwa kumharibia mtonyo wake ila pesa ya kwanza ilipita salama.

Alifukuzwa na Mwalimu Nyerere kwenye Ukurugenzi wa Usalama wa Taifa kwa kosa la Kununua Mercedez Benz bila ya kumjulisha Mwalimu

Akaja Tena kupoteza Uwaziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala bora wa Mzee Benjamin Mkapa kwa kosa la kughushi Malipo ya Matibabu ya Mkewe Nchini Marekani

Alipoongea na Media nyumban kwake Upanga alikanusha tuhuma za kughushi akamtaja PM wa wakati huo ambae kwa sasa ni Mwenyekt wa Chama Fulani kanda ya Pwani kuwa ndie anamchafua kwa kuwa wote wanautaka Urais japo mwishowe wote wakaukosa
 
Kizazi hiki nacho kinae Jack Zoka, Miaka ikipita itakuwa ruksa kuzungumza ya Nyuma ya Pazia kumhusu Jabali hili japo kwa sasa hivi haifai kuweka hadharani, Sie tunazungumza ya zamani kwa kuwa kwa kiwango Fulani degree yake ya confidentiality inakuwa imepungua!

Marekani Miaka kadhaa nadhan 30 ikishapita unaweza hata kutunga kitabu kuzungumza baadhi ya Mambo ya 'system'
Zoka[emoji654]Ulimboka

May Allah bless Me and You
 
Back
Top Bottom