Ni kweli kabisa.Akina Mahiga wanaijua hii nchi kama kiganja cha mkono wake. Watu wa aina yake wamebaki wachache sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa.Akina Mahiga wanaijua hii nchi kama kiganja cha mkono wake. Watu wa aina yake wamebaki wachache sana.
Nilisoma mahojiano ya marehemu kimario kwenye gazeti anakiri alipelekwa Israel bila yeye kujua. Alifikiri anaenda kusoma shahada ulaya mashariki kumbe nyerere kapanga aende Israel kusomea ujeshi na ujasusi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli Mkuu kama yule wa Arusha Mwenyekiti wa UVCCM..Zamani ilikuwa ni ngumu sana kumjua mtu kama ni TISS,siku hizi wanajitangaza wenyewe,kiasi kwamba hata matapeli wanajiita TISS.
Asante kwa hii kitu nilikuwa sijuiWengi tu hawakuhudhuria kwa sababu kadhaa!
Hata Augustine Mahiga ( Waziri wetu wa Mambo ya Nje) kuwa Mkuu wa Usalama wa Taifa lakin hakuhudhuria Mkutano huo!
Kwenye ile Kesi ya Uhaini ya 1983 Shahidi Muhimu aliekuwa anatambulika Kama Mr X alikuwa ni Balozi Augustine na ndie alietibua Mpango ule wa kumpiga Bomba Mwalimu Nyerere Kanisani St Peters Ostybay
kwahiyo mkuu inamaana kwamba intelijensia ya wale waliohudhuria kuapishwa kwa rais kule kenya ilikua dhaifu kwa kushindwa kubaini yaliyotokea kipindi cha uchaguzi kenya?Ni Kweli kabisa na Hata Afande Kimario Mwenyewe alitumia Hati ya kusafiria ya Ghana sio Tanzania
Wale Jamaa haitokuja tokea Sytem strong Kama ile, iliyotibua Mapinduzi na Uhaini Mara 8 ikiwemo kumsaidia Raila Odinga kumtikisa Daniel Arapa Moi 1983 na jaribio liliposhindwa wakamtorosha Raila mpaka Canada Ikiwa ni revenge kwa Kenya kusaidia Uhain wa kina Kapten Maganga na Akina Maghee Upande wa Tz
y
Kipindi hicho Tanzania ilikuwa Israel ya Maziwa Makuu na Africa Mashariki kwa jumla!
Mkuu vipi na wale waliomtorosha Uncle Tom au Pius Rugakingira....Ni Kweli kabisa na Hata Afande Kimario Mwenyewe alitumia Hati ya kusafiria ya Ghana sio Tanzania
Wale Jamaa haitokuja tokea Sytem strong Kama ile, iliyotibua Mapinduzi na Uhaini Mara 8 ikiwemo kumsaidia Raila Odinga kumtikisa Daniel Arapa Moi 1983 na jaribio liliposhindwa wakamtorosha Raila mpaka Canada Ikiwa ni revenge kwa Kenya kusaidia Uhain wa kina Kapten Maganga na Akina Maghee Upande wa Tz
Kipindi hicho Tanzania ilikuwa Israel ya Maziwa Makuu na Africa Mashariki kwa jumla sio hii ya Leo Kibiti inatutoa jasho
Hata Mimi nlipofuatilia historia yake kuanzia ukurugenzi wa usalama wa Taifa hadi UNO, nlibaki mdomo wazi. Ukimwangalia utadhani huyu hana jipyaMahiga ukimuona juuu juu unaweza kumchukulia kama wanasiasa wengine ila ukifuatilia historia yake unachoka tu. Mzee katulia sana huyu.
Lile tukio la mkewe lilipotokea, alitulia tu. Wangekuwa wanasiasa wengine wa kisasa, wangeanza kutweet mipasho. Vijana tujifunze kwa hawa wazee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vijana tunapenda kuwadharau hawa Wazee. Wakati hata nchi ilivyo sasa ni kwakuwa waliijenga.Hata Mimi nlipofuatilia historia yake kuanzia ukurugenzi wa usalama wa Taifa hadi UNO, nlibaki mdomo wazi. Ukimwangalia utadhani huyu hana jipya
Ni yule aliyesimamishwa na trafick akagoma, baadaye trafick alipata kiki na Mkulu akaagiza apandishwe cheo haraka sanaTukio LA mkewe lilikuaje na nini kilitokea?
Hata mimi nashangaa nchi yenye mifumo imara ya itelijensia kama hii inashindwaje kufuta kabisa chokochoko za Kibiti?Ni Kweli kabisa na Hata Afande Kimario Mwenyewe alitumia Hati ya kusafiria ya Ghana sio Tanzania
Wale Jamaa haitokuja tokea Sytem strong Kama ile, iliyotibua Mapinduzi na Uhaini Mara 8 ikiwemo kumsaidia Raila Odinga kumtikisa Daniel Arapa Moi 1983 na jaribio liliposhindwa wakamtorosha Raila mpaka Canada Ikiwa ni revenge kwa Kenya kusaidia Uhain wa kina Kapten Maganga na Akina Maghee Upande wa Tz
Kipindi hicho Tanzania ilikuwa Israel ya Maziwa Makuu na Africa Mashariki kwa jumla sio hii ya Leo Kibiti inatutoa jasho
I'm curious hebu tupatie details kwenye hiiNi Kweli kabisa na Hata Afande Kimario Mwenyewe alitumia Hati ya kusafiria ya Ghana sio Tanzania
Wale Jamaa haitokuja tokea Sytem strong Kama ile, iliyotibua Mapinduzi na Uhaini Mara 8 ikiwemo kumsaidia Raila Odinga kumtikisa Daniel Arapa Moi 1983 na jaribio liliposhindwa wakamtorosha Raila mpaka Canada Ikiwa ni revenge kwa Kenya kusaidia Uhain wa kina Kapten Maganga na Akina Maghee Upande wa Tz
Kipindi hicho Tanzania ilikuwa Israel ya Maziwa Makuu na Africa Mashariki kwa jumla sio hii ya Leo Kibiti inatutoa jasho
Unataka mkatambike naye? Hakuna faida ya ukabila uliyobaki zaidi ya Matambiko in Nyerere voice.hivi huyo mahiga ni kabila gani kwa anayefahamu wakuu?
Unataka kutambika?hivi huyo mahiga ni kabila gani kwa anayefahamu wakuu?
I'm curious hebu tupatie details kwenye hii
jf where we dare talk openly
nchi inaihitaji ccm kuliko ccm inavoihitaji nchi,kwa upinzani wa sasa nani anafaa kupewa nchi!?..so kama mtu unaejali mustakabali mwema wa taifa unahitaji kuibeba ccm kwa sasa,si kwa uzuri wa rangi au sera zake bali maslahi mapana ya taifaBado hujanijibu swali langu wanafanya kazi za CCM au za Taifa. Kama kiongozi huko wa CCM anaipeleka nchi shimoni na huyo wa upinzani ndio wa kuiokoa. Je watafanya kazi ya Taifa inachohitaji au kazi ya CCM?
Sent using Jamii Forums mobile app
Alifukuzwa na Mwalimu Nyerere kwenye Ukurugenzi wa Usalama wa Taifa kwa kosa la Kununua Mercedez Benz bila ya kumjulisha Mwalimu
Akaja Tena kupoteza Uwaziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala bora wa Mzee Benjamin Mkapa kwa kosa la kughushi Malipo ya Matibabu ya Mkewe Nchini Marekani
Alipoongea na Media nyumban kwake Upanga alikanusha tuhuma za kughushi akamtaja PM wa wakati huo ambae kwa sasa ni Mwenyekt wa Chama Fulani kanda ya Pwani kuwa ndie anamchafua kwa kuwa wote wanautaka Urais japo mwishowe wote wakaukosa
Juzi mkulu aliwaalika wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wastaafu. Walionekana Ikulu na idhini yake hata picha za ndani zikaonekana.
Kama nakumbuka sawasawa Mzee Kitine aliwahi kuwa mkuu wa kitengo chetu pale Eagle house. Sikumwona kwenye picha. Najua wana Eagle mmo humu. Tujuze yuko wapi na kwa nini hakuhudhuria?
Pleaseee majina ya Mkwere ya Mfukoni ndio Ya usalama wa TaifaZege ni Muunganiko wa Mchanga, Kokoto, Cement na Maji kikipungua kimoja Wapo haliitwi Zege!
Kamati kuu na ya Maadili inapopitia na kupitisha Majina ya Wagombea Urais Moja ya Taarifa wanzojadili ni ya Usalama wa Taifa kuhusu Wagombea wale Ndio sababu nikakupa Mfano wa Mchanganyo wa Zege element zake na ukijaribu kutenganisha huwa Hakuna Zege tutafute jina lingine
una uhakika kuwa hiyo mipango alipanga yeye na si wababe wetu wa ujasusi idarani!?Ni Long story Ndugu yangu lakin kwa ufupi baada ya jaribio la Mapinduzi kushindwa 1983 Baadhi ya Watuhumiwa walitoroshwa Gerezani Ukonga na kupelekwa Kenya Kupitia Mpaka wa Horohoro na lilitumika Gari la Kubebea Mkaa kuwabeba kina Kapten Maganga
Mwl Baada ya kugundua Mpango huo ndipo akatengeneza Revenge
Baada ya Arap Moi kutikiswa ikabidi wafanye Mazungumzo na Mwl Nyerere na wakakubaliana wabadilishane Wale Wahaini ndipo kina Maganga wakadanganywa na Utawala wa Kenya kuwa wanawapeleka kuwaficha Ethiopia kwa kuwa kuna Vijana wa Nyerere Wapo mitaa ya Nairobi wanaweza kuwadaka Kumbe ni Mpango wa kwenda kuwakabidhi Dodoma si Dsm
Nyerere nae aka swap kwa kukabidhi Wahaini feki kwa Moi wakat huo tayari kina Odinga ( Wahaini halisi ) wameenda kufichwa Canada Kama wakimbiziwa Kisiasa kishawasafirisha, Moi baada ya kugundua alipoteza kabisa Interest na Tanzania na Mwl kabisa kwa kuingizwa Chaka
Tanzania haitokuja kupata Rais Mwenye akili Nyingi sana Kama Julius Kambarage Nyerere never never!