Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,427
- 30,459
Nilimwona kwenye msiba wa Emmanuel Mwambulukutu na alitoa salam pale kanisani, Msasani.Last time nilimuona mahali akiwa anatembea kwa kuchechemea nadhan ana tatizo LA mguu/ miguu! pia umri unachangia ila mentally yuko fit!
Yuko fiti kabisa.