Wachovu
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 1,227
- 566
AnaumwaYeye si Alisha tangaza nia ya kuingia magogoni...jamaa anamtreat kama rival wake..mzee kipara ana mentality za kishamba!
AnaumwaYeye si Alisha tangaza nia ya kuingia magogoni...jamaa anamtreat kama rival wake..mzee kipara ana mentality za kishamba!
Naona hata boss wako wa sasa ume disqualify!Ni Long story Ndugu yangu lakin kwa ufupi baada ya jaribio la Mapinduzi kushindwa 1983 Baadhi ya Watuhumiwa walitoroshwa Gerezani Ukonga na kupelekwa Kenya Kupitia Mpaka wa Horohoro na lilitumika Gari la Kubebea Mkaa kuwabeba kina Kapten Maganga
Mwl Baada ya kugundua Mpango huo ndipo akatengeneza Revenge
Baada ya Arap Moi kutikiswa ikabidi wafanye Mazungumzo na Mwl Nyerere na wakakubaliana wabadilishane Wale Wahaini ndipo kina Maganga wakadanganywa na Utawala wa Kenya kuwa wanawapeleka kuwaficha Ethiopia kwa kuwa kuna Vijana wa Nyerere Wapo mitaa ya Nairobi wanaweza kuwadaka Kumbe ni Mpango wa kwenda kuwakabidhi Dodoma si Dsm
Nyerere nae aka swap kwa kukabidhi Wahaini feki kwa Moi wakat huo tayari kina Odinga ( Wahaini halisi ) wameenda kufichwa Canada Kama wakimbiziwa Kisiasa kishawasafirisha, Moi baada ya kugundua alipoteza kabisa Interest na Tanzania na Mwl kabisa kwa kuingizwa Chaka
Tanzania haitokuja kupata Rais Mwenye akili Nyingi sana Kama Julius Kambarage Nyerere never never!
Jamaa alitoa siri kubwa sana,Alex Furgeson alisifiwa sana akiwa Manchester japo hakuwa anacheza na Wenger analaumiwa sana Arsenal japokuwa Yeye sio Mchezaji nadhan utakuwa umeelewa kwanini Namsifia Mwl Nyerere kwa kuwa Yeye ndio Kiongozi Mkuu aliekuwa anateua Hao unaowataka niwasifie
Labda hujui tu kuwa Mipango Mikubwa yote huwa lazima ipate baraka za Rais kabla ya kutekelezwa na ikitokea Rais ni Fwalaaaa anaweza akaropoka hadharan Kama Fulani alivyoropoka kuhusu Suala la Kibiti na kudukuliwa kwa simu ya Mwanasiasa aliekuwa anafuatiliwa na Usalama kuhusu kuwasiliana na Acacia
Rais Nyerere lazima tumsifu alipokuwa kafanya vizuri Kama ninavyomkosoa anapokuwa alikosea ndio u Great thinker
Historia kama hizi kuhusu viongozi wetu waliopita ni muhimu sana.Wengi tu hawakuhudhuria kwa sababu kadhaa!
Hata Augustine Mahiga ( Waziri wetu wa Mambo ya Nje) kuwa Mkuu wa Usalama wa Taifa lakin hakuhudhuria Mkutano huo!
Kwenye ile Kesi ya Uhaini ya 1983 Shahidi Muhimu aliekuwa anatambulika Kama Mr X alikuwa ni Balozi Augustine na ndie alietibua Mpango ule wa kumpiga Bomba Mwalimu Nyerere Kanisani St Peters Ostybay
Jamaa alitoa siri kubwa sana,
Ali specify mtu na methods TISS wanazotumia
Hana kifua tatizo anataka sifa
Kama ni muhusika alijijua kabisa kuwa kasemwa na mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Malisa mkuu wagereza mstaafu alishafarikiMalisa yupo Wa Afya Njema.
Naona deep state imezaliwa upyaMagufuli kaunda kitengo cha ushauri wa Usalama na mkuu wa kitengo hicho atakuwa Mzee kitine msaidizi wake ni Mzee Apson na wajumbe ni akina Othuman, mwamnyange,mboma, waitara na wengineo lengo lake ni kudumisha Utulivu Nchini Tz na kumsaidia kudumisha Aman.
Huenda Mpaka sasa Tanzania haijapata Mtaalam wa kudungua ( Sniper) wa kiwango cha Mahiga
Kuna Mzee Mmoja Mstaafu wa pale Makumbusho aliwahi kuniambia Mahiga alijifunzia Yugoslavia ya Kijamaa 1970s Makitu kiasi kwamba kWenye Mazoezi Yao walikuwa wanapanda Magari mawili tofauti yanayoenda kwa kasi kwa uelekeo tofauti lakin Balozi alikuwa na uwezo wa kumdungua anaemtaka ndani ya Gari tofauti!
Sasa mtu wa namna hiyo si anapaswa kuwa jeshini? Hiyo portifolio ya mahusiano ya kimataifa na mabunduki wapi na wapi?
Naona hata siri za hivyo vikao vya wakuu wastaafu atazitoa mwenyeweNdio Tatizola Mtu Mkubwa kutokuwa na Kifua!
sidhani kama ile ilikua siri,na sidhani kama huyo aliedukuliwa hakujua kama pana uwezekano wa kudukuliwa,kama alifikiri hivyo atakua mpumbavu wa karneNaona hata siri za hivyo vikao vya wakuu wastaafu atazitoa mwenyewe
Magu is about to use 'NUKE'
Wahusika wameshajua na hawatakubal waende mwenyewe deep state wamejipanga
DAB
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulipo?Mmaaaa!!!!! aa hahahahahahha
Kwa kutumia kwake warembo ktk ujasusi acha watu wale MBUMA na kuwapa taarifa fakeKwenye ujasusi Mkuu... Anapenyeza vijana wake katika kila nchi ya Afrika mashariki..
Sent using Jamii Forums mobile app
Alipandikizwa...!Mbona Maiga naye alitangaza nia lakini alimpa shavu?
Kile kitabu sijui nakipataje...nilikuwa na hard copy, nikaibiwa.Wengi tu hawakuhudhuria kwa sababu kadhaa!
Hata Augustine Mahiga ( Waziri wetu wa Mambo ya Nje) kuwa Mkuu wa Usalama wa Taifa lakin hakuhudhuria Mkutano huo!
Kwenye ile Kesi ya Uhaini ya 1983 Shahidi Muhimu aliekuwa anatambulika Kama Mr X alikuwa ni Balozi Augustine na ndie alietibua Mpango ule wa kumpiga Bomba Mwalimu Nyerere Kanisani St Peters Ostybay
Issue ya Benz nilidhani ilimuhusu yule MZEE wa Newala tu?Alifukuzwa na Mwalimu Nyerere kwenye Ukurugenzi wa Usalama wa Taifa kwa kosa la Kununua Mercedez Benz bila ya kumjulisha Mwalimu
Akaja Tena kupoteza Uwaziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala bora wa Mzee Benjamin Mkapa kwa kosa la kughushi Malipo ya Matibabu ya Mkewe Nchini Marekani
Alipoongea na Media nyumban kwake Upanga alikanusha tuhuma za kughushi akamtaja PM wa wakati huo ambae kwa sasa ni Mwenyekt wa Chama Fulani kanda ya Pwani kuwa ndie anamchafua kwa kuwa wote wanautaka Urais japo mwishowe wote wakaukosa
Kuna mambo anakuudhi kumbe.Alex Furgeson alisifiwa sana akiwa Manchester japo hakuwa anacheza na Wenger analaumiwa sana Arsenal japokuwa Yeye sio Mchezaji nadhan utakuwa umeelewa kwanini Namsifia Mwl Nyerere kwa kuwa Yeye ndio Kiongozi Mkuu aliekuwa anateua Hao unaowataka niwasifie
Labda hujui tu kuwa Mipango Mikubwa yote huwa lazima ipate baraka za Rais kabla ya kutekelezwa na ikitokea Rais ni Fwalaaaa anaweza akaropoka hadharan Kama Fulani alivyoropoka kuhusu Suala la Kibiti na kudukuliwa kwa simu ya Mwanasiasa aliekuwa anafuatiliwa na Usalama kuhusu kuwasiliana na Acacia
Rais Nyerere lazima tumsifu alipokuwa kafanya vizuri Kama ninavyomkosoa anapokuwa alikosea ndio u Great thinker
Umechanganya madesa. Joka la Mdimu ni juzi hapa 2015. Hans Kitine ilikuwa miaka ya 2000 kuelekea 2005. Joka la Mdimu alikuwa ni timu Mtandao akiwemo Marehemu Sitta, Lowasa, JK, Rostam nk.Umemsahau JOKA LA MDIMU aliuyetibu hii issue kule bungeni na ikamfanya JOKA LA MDIMU ajulikane nchi nzima ingawa hakuwa anajulikana kokote.
Kumbe JOKA LA MDIMU naye alikuwa anawania urais na inasemekana zile hela zilizokamatwa kule Dodoma zilikuwa ni rushwa toka kwa JOKA LA MDIMU na jamaa zake ambako mmoja sasa hivi yuko mahabusu ameota ndevu na kuna vyuma kwenye mwili wake.
Mkuu kuna mdau mmoja ambae sasa ni bodyguard wa Mzee wa lushoto nae alikua mahiri kwe kudungua motion objectMahiga na Kitine wote ni Phd za Darasani sio zile za kina Kikwete za Heshma
Hahahahahah!
Unahoji Portolio ya Balozi Mahiga kwenye Mahusiano ya Kimataifa?
Ana Ph.D. Kutoka Toronto Canada ya Masuala hayo ya Diplomasia ( Huu ni Mwaka wa 42 tangu kuwa na Phd ya. Mambo hayo!) , ameshakuwa Balozi wa kudumu wa Tz Umoja wa Mataifa, kishakuwa Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa UN kwny Mgogoro wa Somalia!