NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,966
mmmmhKwani alivyoiba zile dola 60 elfu na kuleta risiti fake za matibabu ya mkewe siyo mambo ya kipuuzi?
mmmmhKwani alivyoiba zile dola 60 elfu na kuleta risiti fake za matibabu ya mkewe siyo mambo ya kipuuzi?
Sasa kabila limehusikaje hapo?
Wameijenga vipi wakati nchi ni masikini wa kutupwa hii!? Hawa ndio walikuwa wanamshauri Nyerere atumie rasilimali zetu kugharamia vita vya ukombozi katika nchi nyingine wakati hao tuliowakomboa hawatujali kwa lolote hivi sasa.
Kumsaidia Mtu ili akujali ni akili za kifukara
'Tenda Wema enda zako usingoje Shukrani'
Hicho unachokiongea ni kwa mahusiano ya mtu na mtu lakini si kwa mahusiano baina ya taifa na taifa. Ndugu au jirani yako akiwa na shida utamsaidi pasina kutarajia chochote lakini siyo taifa jirani. Ni upumbavu kutumia rasilimali za nchi yako kusaidia nchi nyingine halafu mwisho wa siku hakuna unachopata. Hata Marekani ikivamia kijeshi nchi yoyote lazima kuwepo na faida za kiuchumi. Ilitakiwa kuwepo na mikataba madhubuti kuwa tunakusaidia ukipata uhuru unaturudishia rasilimali zetu. Naufananisha na upumbavu wa baba ambaye anasaidia familia za jirani na anaonekana mwema machoni pa watu wakati familia yake inateketea kwa dhiki.
Haya Ndugu inaonekana una hasira kali kutokana na maandiko yako!
Nina hasira kwa sababu maamuzi ya hovyo ndiyo yaliyotutia umasikini mkubwa kama taifa halafu eti watu wanasifiwa humu.
Maamuzibya ovyo ya nani?Nina hasira kwa sababu maamuzi ya hovyo ndiyo yaliyotutia umasikini mkubwa kama taifa halafu eti watu wanasifiwa humu.
Alikuwa anatimiza wajibu wake wa kinafikikm ujamaa ulivyo.Wanaogopa kuongea kweli dhidi ya magaidi?Magaidi wapo wanaofanya ugaidi km ajira bila malengo ambayo yanawezafikiwa kwa kupewa wakipiganiacho ila kiwe ni kitu chenye mashiko.Wengi hawana specifics nini wanataka,je kinawezekana na wakipewa watarudi kuwa watu wema au ndio watakuwa wamehalalishia kuwa wao ndio vijogoo wa kupiga kila mtu.Ila days are coming wanafiki hawatakuwa na nafasi. Hakutakuwa na vuguvugu Ni ama moto au baridi.Na hilo magaidi wanajua, muda ukifika wanatangaza tuu kuwa nani ktk vuguvugu ni halali kuingizwa ktk targets. Njaa sio sababu ya ugaidi. Magaidi wana hela nyingi sana za kuendesha vita ghali, kununua watu, za kufanya mipango mingi sana. Ila hawana za kusaidia elimu, afya,tafiti na mengine.Balozi Mahiga kaiingiza Tanzania katika United Nations Security council hapo Turtle Bay New York City.
Watanzania wengi hata hawajui UN Security Council ni kitu gani.
Wakati George Bush anakwenda gung-ho kwenye "War on Terror" akitaka dunia nzima iweke macho kwenye ugaidi, Mahiga ndiye aliyesimama na kusema jamani eeh, tunajua ugaidi mbaya, hata sisi wamelipua watu wetu walipolipua ubalozi wa Marekani Laibon St hapo Oysterbay. Lakini, huko kwetu kuna gaidi mwingine mkubwa zaidi anaogopwa kuliko Osama.
Anaitwa njaa.
Dr. Mahiga alipigana sana UN Security Council kuwezesha suala la food security liwekwe kuongelewa kama a security issue, sio ugaidi tu.
Huo ni mfano mmoja tu ninaoujua mimi, lakini ipo mifano mingi sana ya kazi za hawa watu zinazogusa maisha ya mtu wa kawaida wa kila siku.
Sent from my Kimulimuli
Alifariki 2002 nadhan tulimzika pale kinondoni na kwenye msiba ule nikuwepoM
Mzee Mzena alishafariki, sikumbuki vizuri mwaka ila ni miaka hii ya 2000's
Hivi mzena ndy alikuwa anakaa Ada Estate kinondoniAlifariki 2002 nadhan tulimzika pale kinondoni na kwenye msiba ule nikuwepo