Mbona Hassy Kitine hakualikwa/hakuhudhuria?

Wakuu wa Usalama wa Taifa wanapumzika kuja kazini huwa hawastaafu, nilimshangaa sana Mzee wetu Mzee Ngoyai kuamini Mzee Apsn Mwang'onda kaastafu mpaka akamuamini akawa ndio Cordinator wa Kampen zake za Urais hata baada ya kuhamia Chadema.

Yaliyotokea Wiki ya Mwisho ya October kabla ya kupiga kura ndani ya Kambi ya Ukawa yatakuwa yamempa Somo kubwa sana Mstahiki Mzee Ngoyai japo we can't undue the Past
Nilimshangaa Lowasa kushindwa kutambua kuwa Apson ni 'kijana' mwaminifu na mtiifu sana wa Mkapa. Labda akijidhani ana mvuto wa chatu mbele ya mbwa
 
Walijua akibaki kule angeleta shida sana kwe kunyooshana

Ni Kweli hata Mimi nahisia Kama zako

Mgawanyiko wa CCM Kama Lowassa angebaki CCM ni Mkubwa kuliko alivyohama!, huenda Akina Gwajima walitumika kumsaidia Mzee kuhama bila ya wao kujijua ili CCM iweze kujiandaa vyema na Uchaguzi bila ya kitisho kikubwa cha usaliti tokea ndani
 
Niliwahi kuona mahojiano ya Mojakwamoja Kati ya Bwana James Orengo na Kituo Kimojawapo Cha Television alielezea hilo.

Jinsi walivyosafirishwa Kutoka Tanzania hadi Kenya na Mateso waliyoyapata wakiwa "uchi" huku wakibanwa waseme yote wanayoyafahamu kuhusiana na jaribio lile. Baadae Orengo aliachiwa hakuonekana na Hatia.
Kuhisiwa mpaka kuja kuachiwa ni mchakato mrefu sana.

"the highest risk shoud give the maximum profit"
 
Ni yule aliyesimamishwa na trafick akagoma, baadaye trafick alipata kiki na Mkulu akaagiza apandishwe cheo haraka sana
Alipofuatwa na kuulizwa na waandishi wa habari kama tayari wamesha mpandisha cheo askari yule kama rais alivyo agiza, aliyekua mkuu wa jeshi la Polisi IGP Ernest Mangu alisema jeshi la Polisi lina utaratibu wake wa kupandisha askari wake vyeo, na moja wapo anapaswa aombe kwenda kusomea hiyo ngazi ya cheo na maombi yake yatapitiwa kama ana kidhi vigezo.
 
Ni Kweli hata Mimi nahisia Kama zako

Mgawanyiko wa CCM Kama Lowassa angebaki CCM ni Mkubwa kuliko alivyohama!, huenda Akina Gwajima walitumika kumsaidia Mzee kuhama bila ya wao kujijua ili CCM iweze kujiandaa vyema na Uchaguzi bila ya kitisho kikubwa cha usaliti tokea ndani
Au hata yeye mwenyewe kwa kuelewa kinachoendelea akaamua kuhama kwenda kufanya lililofanyika na kuleta soft opposition
 
Alipofuatwa na kuulizwa na waandishi wa habari kama tayari wamesha mpandisha cheo askari yule kama rais alivyo agiza, aliyekua mkuu wa jeshi la Polisi IGP Ernest Mangu alisema jeshi la Polisi luna utaratibu wake wa kupandisha askari wake vyeo, na moja wapo anapaswa aombe kwenda kusomea hiyo ngazi ya cheo na maimbi yake yatapitiwa kama ana kidhi vigezo.

Yule Bosi wa Yule Askari alimuelekeza yule Mama kwa simu taratibu zote na kutakiwa alipe Faini alikuwa Mkuu wa Trafik Kinondoni sasa hivi kapandishwa Cheo kutoka SSP mpaka ACP na sasa ni Mkuu wa Polisi Mkoa Mzima wa Dar Es salaam anaitwa Awadh ni wa kule kwa kina Lissu
 
Dk Mahiga alipata ufadhili na kuendelea na masomo ya juu nchini Canada katika Chuo Kikuu cha Toronto ambako alihitimu Shahada ya Uzamili. Aliendelea na masomo ya Shahada ya Uzamivu (PhD) katika chuo hichohicho akijikita katika Uhusiano wa Kimataifa na kuhitimu mwaka 1975.

Mwaka huohuo 1975 (akiwa na miaka 30), Dk Mahiga alirejea nchini akiwa daktari wa falsafa kitaaluma na alipangiwa kazi ya kufundisha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akiwa mhadhiri katika Idara ya Kimataifa na Ushirikiano wa Kikanda. Alifanya kazi hiyo hadi mwaka 1977 alipohamishiwa katika Ofisi ya Rais kuwa Mkurugenzi wa Utafiti na Mafunzo na alidumu hapo akifanya kazi pamoja na Mwalimu Julius Nyerere hadi mwaka 1980.

Kati ya mwaka 1980 hadi 1983, Dk Mahiga alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa. Nafasi hii aliitumikia kwa weledi mkubwa katika historia ya watu waliowahi kuitumikia, aliweza kuifahamu nchi vizuri na mifumo yake kwa mtizamo wa ndani na nje.
Yaelekea anajua mengi.; yamkini hata maandalizi ya kumshughulikia SOKOINE atakuwa anayajua au alishiriki kuyapanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule Bosi wa Yule Askari alimuelekeza yule Mama kwa simu taratibu zote na kutakiwa alipe Faini alikuwa Mkuu wa Trafik Kinondoni sasa hivi kapandishwa Cheo kutoka SSP mpaka ACP na sasa ni Mkuu wa Polisi Mkoa Mzima wa Dar Es salaam anaitwa Awadh ni wa kule kwa kina Lissu
Kwa hiyo yule askari aliye kamata yule mama bado yupo barabarani anaendelea kuongoza na kuimbisha kwaya za magari?
 
Mkuu kuna mdau mmoja ambae sasa ni bodyguard wa Mzee wa lushoto nae alikua mahiri kwe kudungua motion object
Huyo umemkuta anahadithia lakini wapo wengi,kuna vijana walikuwa wanafundishwa marine commando hapa dsm boti zinakimbizwa spidi 200 Km huku ziki yumba yumba kupingana na mawimbi na wanakulengea shabaha bila shida.
 
Hawa wazee wengine walijingiza biashara uchwara na kugaribu cv zao.
Yupo aliekuwa na kashfa za mafuta
Na huyu kitine ana uhusiano na Astra kampuni ya kenya inayo fanya utapeli wa bima kwenye tenda. TPA wanekula sana

hahahahah wazee gani hao hahahah daah mambo kunoga wakumwitu
 
Back
Top Bottom