Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,217
Kweli,mkuu wanasifiana sifiana km watu waliosoma kozi za kusifiana kupita uhasilia. Unaweza on a kwanini muda mrefu wanatumia kulazimisha sifa hata ktk mimba zilizotoka. Ndio maana kuna moves mbaya na hazina ulazima wanafanya prematurely na kupoteza muda kuzilinda. Unaweza sikia wakijisifu kumfix raia mnyonge km kibudu. Bado wana guts za kujisifu bila kifani. Km akina chuji,akina diamond ktk magazeti yetu.Nimeufuatilia huu uzi mwanzo mwisho ila sijaona lolote la maana zaidi ya historia na sifa kedekede za wana usalama wa taifa wa kipindi hicho...jambo la kushangaza ni kwamba mpaka leo uchumi hovyo demokrasia mahututi bin taaban usalama wenyewe nao uko mashakani...
hata hawa millenials wetu wakituangalia wanashindwa kuelewa hizi sifa ni za nini hasa na kwa manufaa gani yasiyoonekana.
Itoshe kusema basi tukae kama taifa na kujadili aidha tuwe nao au tuwafutilie mbali hii idara isiyojulikana kama inalitumikia taifa au chama tawala. Huu ni usalama wa taifa kwa maslahi ya taifa au maslahi ya watawala...hapa tunahitaji mjadala mpana kwa manufaa ya taifa...
malengo ya kuundwa kitengo hicho yalikuwa nini hasa na je bado yanafaa kwa dunia ya sasa tuliyonayo?
kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
USA very professional person ana jina kawaida kabisa.Na wanajitahidi sana kufanya missions zimepimwa sana km kweli ni muhimu. Km kweli hakuna option ingine iliyo safi na effective zaidi. Luna page zimechanwa ktk mafunzo ya eagles wetu.