Mbona Hassy Kitine hakualikwa/hakuhudhuria?

Mbona Hassy Kitine hakualikwa/hakuhudhuria?

Pohamba,


..hata bwana JAMES ORENGO kuna mahali inaandikwa kuwa alikuwa deported Tz na kukabidhiwa kwa maafisa usalama wa Kenya.

Niliwahi kuona mahojiano ya Mojakwamoja Kati ya Bwana James Orengo na Kituo Kimojawapo Cha Television alielezea hilo.

Jinsi walivyosafirishwa Kutoka Tanzania hadi Kenya na Mateso waliyoyapata wakiwa "uchi" huku wakibanwa waseme yote wanayoyafahamu kuhusiana na jaribio lile. Baadae Orengo aliachiwa hakuonekana na Hatia.
 
Juzi mkulu aliwaalika wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wastaafu. Walionekana Ikulu na idhini yake hata picha za ndani zikaonekana.

Kama nakumbuka sawasawa Mzee Kitine aliwahi kuwa mkuu wa kitengo chetu pale Eagle house. Sikumwona kwenye picha. Najua wana Eagle mmo humu. Tujuze yuko wapi na kwa nini hakuhudhuria?
Magufuli kaunda kitengo cha ushauri wa Usalama na mkuu wa kitengo hicho atakuwa Mzee kitine msaidizi wake ni Mzee Apson na wajumbe ni akina Othuman, mwamnyange,mboma, waitara na wengineo lengo lake ni kudumisha Utulivu Nchini Tz na kumsaidia kudumisha Aman.
 
Mahiga hajawahi kuwa mkuu wa usalama wa taifa, ila aliwahi kuwa mkuu wa usalama wa Rais ikulu
1e9a5999dfc3b73415cb4dfdcc343203.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni Mabere Nyaucho Marando nae naskia alikuwa Alhamdulillah Hahahah
Hawa ndio waanzilishi wa Upinzani Tanzania
Halafu Mzew Apson ndio Mratibu Hahahaha

Aksante sana Mzee Kambarage kutuwekea 'Misingi' ya Amani na Mshikamano



Ha ha ah ahha

Mkuu huyo mpinzani wa kweli na mwenye nguvu akitokea lazima ataonekana kwenye radar za TISS na akisha onekana lazima aingizwe kwenye "system"
 
Hawa Wazee kwny ujana wao walikuwa sio Watu wa Mchezo ni Watu Hatari sana sema utu uzima unawafanya tuwaone Kama Simba Wazee
Ni hatari mwana eagle kuwa na mahaba ktk Ku elezea generational differences au hate kuelezea jamaa aliyepokupokea camp tens kwa issue za kuambiwa, bila kusema watu wana mrate highly. Walikuwa kundi duni, linaloongozwa na tips za marafiki huku tukiwa na raia wenye hofu na waliounganishwa na hofu za adui mkoloni na bepari. Zote ni issues za kufikirika. For the moment intelligentia za akina kova na wengine ni maigizo ktk mdomo wa mamba,lazima mwishowe mamba akutafune ukiweka kiungo chako mdomo kwake.
 
Prof. Kitila Mkumbo: Mafanikio na utata wa Membe kidiplomasia

Alifukuzwa na Mwalimu Nyerere kwenye Ukurugenzi wa Usalama wa Taifa kwa kosa la Kununua Mercedez Benz bila ya kumjulisha Mwalimu

Akaja Tena kupoteza Uwaziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala bora wa Mzee Benjamin Mkapa kwa kosa la kughushi Malipo ya Matibabu ya Mkewe Nchini Marekani

Alipoongea na Media nyumban kwake Upanga alikanusha tuhuma za kughushi akamtaja PM wa wakati huo ambae kwa sasa ni Mwenyekt wa Chama Fulani kanda ya Pwani kuwa ndie anamchafua kwa kuwa wote wanautaka Urais japo mwishowe wote wakaukosa
 
No hatari mwana eagle kuwa na mahaba ktk Ku elezea generational differences au hate kuelezea jamaa aliyepokupokea camp tens kwa issue za kuambiwa, bila kusema watu wana mrate highly. Walikuwa kundi dunk, linaloongozwa na tips za marafiki huku tukiwa na raia wenye hofu na waliounganishwa na hofu za adui mkoloni na bepari. Zote ni issue za kufikirika. For the moment intelligentia za akina kova na wengine ni maigizo ktk mdomo wa mamba.

Duuuh , nimerudia Mara kadhaa nimejiridhisha kuwa Sijakuelewa kutokana na upeo wangu Mdogo wa kusoma between lines au Labda Fasihi uliyotumia ni kali sana
 
Nimeufuatilia huu uzi mwanzo mwisho ila sijaona lolote la maana zaidi ya historia na sifa kedekede za wana usalama wa taifa wa kipindi hicho...jambo la kushangaza ni kwamba mpaka leo uchumi hovyo demokrasia mahututi bin taaban usalama wenyewe nao uko mashakani...

hata hawa millenials wetu wakituangalia wanashindwa kuelewa hizi sifa ni za nini hasa na kwa manufaa gani yasiyoonekana.

Itoshe kusema basi tukae kama taifa na kujadili aidha tuwe nao au tuwafutilie mbali hii idara isiyojulikana kama inalitumikia taifa au chama tawala. Huu ni usalama wa taifa kwa maslahi ya taifa au maslahi ya watawala...hapa tunahitaji mjadala mpana kwa manufaa ya taifa...

malengo ya kuundwa kitengo hicho yalikuwa nini hasa na je bado yanafaa kwa dunia ya sasa tuliyonayo?

kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
 
Nimeufuatilia huu uzi mwanzo mwisho ila sijaona lolote la maana zaidi ya historia na sifa kedekede za wana usalama wa taifa wa kipindi hicho...jambo la kushangaza ni kwamba mpaka leo uchumi hovyo demokrasia mahututi bin taaban usalama wenyewe nao uko mashakani...

hata hawa millenials wetu wakituangalia wanashindwa kuelewa hizi sifa ni za nini hasa na kwa manufaa gani yasiyoonekana.

Itoshe kusema basi tukae kama taifa na kujadili aidha tuwe nao au tuwafutilie mbali hii idara isiyojulikana kama inalitumikia taifa au chama tawala. Huu ni usalama wa taifa kwa maslahi ya taifa au maslahi ya watawala...hapa tunahitaji mjadala mpana kwa manufaa ya taifa...

malengo ya kuundwa kitengo hicho yalikuwa nini hasa na je bado yanafaa kwa dunia ya sasa tuliyonayo?

kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu

Heading ya huu Uzi ilikuwa inahusu kutoonekana kwa Mzee Hassy Kitine Ikulu sasa Wewe unashangaa nini Sie tukielezea Sifa na History zinazowahusu Hao Watu wa Jamii ya kina Kitine na Mahiga ili Watu Wajue ni kina Nani Hao mpaka Watu wahoji kutoonekana kwao?

Wewe Kama unataka kupewa Elimu kuhusu Kazi za Usalama wa Taifa au una dukuduku au ushauri anzisha uzi elezea au hata kwny huu Uzi unaweza kuelezea unachokijua sio lazima waeleze wengine!

Mtu hawezi kuelezea jambo asilolijua hivyo Ukiona hayo ya Maana hatujaeleza ujue hatujui sasa Wewe Mwenye kujua ndio utueleze!

Ili ujue Mwalimu Kakosea kufundisha lazima ujue usahihi wa alichopasa kufundisha!

Karibu Ndugu utupe Darsa adheem
 
Back
Top Bottom