Ilishindikana.Hivi kipindi kile Kangi Lugola anamtafutq hakumkamataga?
Chahali ndo Kigogo Duh.!Wanamsaka wapi sasa? Kwenye mtandao au huku uraiani au popote pale?
Halafu, hivi yule E.Chahali ana akili timamu kweli?
Jaribu tu kupost hivyo, utaona.Ha ha ...
Melo anaumwa unapigwa ban
Rais haumwi, yupo mfungo wa Kwaresma...Ikiwa kama anaumwa kweli inakuwaje?
Mmoja wa binadamu wa ajabu kabisa kupata kutokea duniani ni huyo mtu, yaani ni kichwa maji kwelikweli 😷!....
Halafu, hivi yule E.Chahali ana akili timamu kweli?
Eti anajiita jasusi! 😂😂😂Halafu, hivi yule E.Chahali ana akili timamu kweli?
Kwa nini aseme mgonjwa ikiwa sio mgonjwa?Kosa lake hapo nini?
Kusema ni mgonjwa?
😂 😂 Hilo ndio kosa?Kwa nini aseme mgonjwa ikiwa sio mgonjwa?