amakyasya
JF-Expert Member
- Jun 26, 2013
- 3,480
- 918
Fani ya propaganda ya magamba!Namshauri ajiunge na TBC 1, ili abobee katika fani!!!
Fani ya propaganda ya magamba!Namshauri ajiunge na TBC 1, ili abobee katika fani!!!
Kitenge kapata shavu nene kwenye media nyingine huko kama sio "azam tv" basi ni "clouds tv" mark my word.
Kuoa wake wengi alidhania raha tu kitandani eeee oooh
Haha huduma wake watatu si mchezo bora angebaki tu mmoja mama Shadya wakamlea mtoto wao vizuri.
Ama kwa MTORO seminary au MWEMBECHAI kama sio kwa JONGO SEMINARY.Wamesoma mtambani seminary
Huyu kijana kinda kabisa ana zaidi ya mke mmoja ?dunia inakwenda wapi ?
Pitapita zangu sehemu nimeinasa hii....
Hahaaaa halafu bora wangekuwa wembemba ..ana wake wanne wote mitinginya hataree
....bado sijaona kosa la kiuandishi hapo upande wa Tarehe.
It's a immediate resignation notice,
Suala la kurudisha mshahara halina mjadala, kaliweka sawa sawa.
Mnaohoji template aliyoitumia leteni samples zenu hapa 'tuone' ya nani muafaka, otherwise wengi wenu mnalaumu kiushabiki tu.
#MosKwito !
kaka nitajie watu wawili tu unaowajua wewe ambao hawana michepuko hata wenye ndoa za wake wengi