Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Status
Not open for further replies.
There are currently 2915 users browsing this thread. (556 members and 2359 guests)
Ngoja mimi nikalale, nimeacha bia za ofa kuja kuchungulia kwenye laptop kumbe mambo mabichi kabisa. Sijui nirudi bar !!
 
There are currently 2934 users browsing this thread. (555 members and 2379 guests)

 
tuache matusi basi
FF hata wewe!!!!
Mbona we mtu mzima
Tusubiri tuone nani kashida
Tuwe wavumilivu jamani
Lazima mshindi apatikane
 
[h=6]Breaking News: Matokeo mpaka sasa ni: KATA CCM CDM
Ntoro 730 (CCM) 302 (CDM); Nguvumali 694 (CCM) 284(CDM); Nkinga 1479 (CCM) 1085 (CDM); Itumba 1079 (CCM) 590 (CDM); Nanga 897(CCM) 645(CDM); Igurubi 925(CCM) 592(CDM); Mbutu 1186(CCM) 1426(CDM); Kinungu 505 (CCM) 263 (CDM); Mwisi 926 (CCM) 992 (CDM); Chabutwa 545(CCM) 581(CDM); Ziba 1053(CCM) 860(CDM); Nyandekwa 691(CCM) 613(CDM)
Hizo ni kata 12... katika hizo 9 CCM imeshinda mpaka sasa CDM ni 3 tu... bado kata 14 ili zifike 26..... Kwa sasa CCM inakula 10710... CDM 8233.[/h]
 
Mass communication educator wa CHADEMA ametokea kanisa lipi? niliwasikia viongozi wa magwanda, hususan Slaa na Mbowe wakihutubia, wamebadilika wanavyohutubia, wanaongea mikutano ya hadhara kama wachungaji wa Jangwani. Hatari kubwa!

Udini umekutawala mpaka kwenye makalio
 
Its over. CCM retained the seat, as expected.

Once again, JF continue to defy reality. This place is a bubble. Humu ndani ukisoma unaweza kufikiria Chadema ni bonge la chama, na wanachukua nchi kesho.

Moderators please move this place back to where it belongs. The center. As it is, JF is a waste of platform.

JF is serving as Chadema's propagandic platform and most of its members are operating agitprop duties correspondingly.
 
Breaking News: Matokeo mpaka sasa ni: KATA CCM CDM
Ntoro 730 (CCM) 302 (CDM); Nguvumali 694 (CCM) 284(CDM); Nkinga 1479 (CCM) 1085 (CDM); Itumba 1079 (CCM) 590 (CDM); Nanga 897(CCM) 645(CDM); Igurubi 925(CCM) 592(CDM); Mbutu 1186(CCM) 1426(CDM); Kinungu 505 (CCM) 263 (CDM); Mwisi 926 (CCM) 992 (CDM); Chabutwa 545(CCM) 581(CDM); Ziba 1053(CCM) 860(CDM); Nyandekwa 691(CCM) 613(CDM)
Hizo ni kata 12... katika hizo 9 CCM imeshinda mpaka sasa CDM ni 3 tu... bado kata 14 ili zifike 26..... Kwa sasa CCM inakula 10710... CDM 8233.
unknown soucre
 
Makama endeleeni kujuza,magamba lazima yazimie leo nasijui yataondokaje igunga usiku,mchana,jioni au asubuhi?.
 
Naona leo wote jazba mpaka tunduni, pumuwa kidogo. Kwenye stress wanasema huwezi ku relax, jitahidi kupumuwa ni njia moja ya ku relax na kupunguza munkar. Matokeo utayapata tu, tutakapoamuwa kuyatoa. Kwa kukupunguzia fikra: usifikiri hata kidogo kuwa mnaweza kushinda, sahau.

bibie tangu uanze kufanya kazi kwa mwarabu basi husemi sentensi bila kutia neno 'tundu' au 'tunduni'

pole sana. tatizo ndo ilo.

waarabu hawatambui pua kama sehemu sahihi ya kupumulia, na wewe yaelekea walishakutengenezea njia nyingine ya kupumulia.

pole sana dada.
 
Source kutoka ITV saa nne kama na dkk 22 hivi wamesema Msimamizi wa uchaguzi keshapokea matokeo ya kata moja tu,na nimekuwa nikimsikia repoter wa ITV alieko Igunga,je mwenzetu umeyapata wapi?unaweza kuorozesha ni kata gani hizo kumi unazozizungumzia?hata hivyo nina mashaka coz ratio ulokuja nayo intofautiana sana kinyume na mtanange unavyokwenda,nimekuwa nikipiga hesabu kwa kuoanisha na wapiga kura waliojitokeza,ikumbukwe kwamba uchaguzi huu wapiga kura wachache sana wamejitokeza kwa mujibu wa matokeo ya vituo vilivykuwa vikitangazwa,tupe source na ututajie hizo kata.
Ila tunajua mmeshaanza uchakachuzi,kwani kama mpaka saa nne usiku huu ni kata moja tu iliyokuwa imeshakamilisha kuleta masanduku na kwa mujibu wa kura hizo CDM walikuwa wanaongoza,lkn kingine ukiona TBC na Star TV hawzungumzii hilo ujue bado hali si shwari,na kwa usiku huu najua ndo usiku wa kazi na mambo mengi ya shetani hufanyika wakati wa giza,hivyo ni wasaa wenu mzuri kujaribu kuanza uchakachuzi.
Certify taarifa yako sisi tutapokea.
 
tuache matusi basi
FF hata wewe!!!!
Mbona we mtu mzima
Tusubiri tuone nani kashida
Tuwe wavumilivu jamani
Lazima mshindi apatikane

Anajiona mdogo.
Mtu anawajukuu.
Kweli uzee kazi.
Hata cku zake zimekoma
Ila anajifanya mtoto.
Anasaka serengeti boy!
 
Jaman msimlaum Novatus. Alikuwa kilabu cha pombe mara Reinfred Nasako akamuuliza matokeo akakurupuka na pombe ameigida mdomoni akatoa ushuzi ule. Sitaki kuutaja nitatapika.
Jihahadhali ban inakusogelea sana, kuna kauli nimeiona umemtolea iron finger siyo ya kiungwana kabisa. Tuko pamoja sote tunapenda mabadiliko lakini siyo kihivyo, poa nahisi umenipata tunakuhitaji sana jukwaani.
 
Wana ccm tangu saa moja tunasherekea ushinda.
 
Tuweni Wavumilivu, Mshindi Lazima Apatikane Lakini Tusubiri Matokeo Ya Jumla. Hatuwezi Kushangilia ushindi kwa kuangalia vituo vichache wakati vituo ni vingi sana.
 
Hatuwezi wote kushabikia CDM hata iweje. Mimi siwezi kupanda DECI nikiwa na shida naingia bank within a week navuta hela nafanya mambo. Tufanyeni kazi tutafute pesa tusidanganyike CDM wakichukua nchi watakupa pesa mkononi, sahau...

Unasema kweli, Gaddafi aliingia madarakani kwa kupingua serikali, yeye alipopinduliwa hakuamini mpaka leo. Na kwa taarifa yako jamaa wakimkamata lazima wampoteze kama Saddamu.

Pia kwa signature yako unaonekana unashabikia watu waovu kama Osama, Saddamu, Gaddafi, Idd Amini, Gbagbo nk! Pole sana Kila unaemshabikia anafika mwisho na CCm inaelekea mwisho wake utabaki peke yako. Wenzako tulikwisha hamia CDM siku nyingi kwenye nafasi tele! Siyo unang'ang'ania ndani ya Beetle ya RA.
 
Hayo maneno ni yawavaa ushungi au umeamua kuifedhehesha dini yetu tukufu ya kiislam???Si bora uvue huo ushungi tujue moja???Kinywa kama unatumia mavi kupiga mswaki badala ya tooth paste!!shame on you. wewe ndo hasa unatakiwa kupigwa kelbu.

Soma yangu na hayo yako halafu utajuwa nani katumia nini. Pole sana anza kupumuwa kwa njia zote upunguze stress, magwanda mmeshaanza kuhamanika na kutukana hovyo, mlidhani mtashinda? mnanchekesha!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom