Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,378
ITV Live, ni kata moja tu kati ya 26 ndiyo iliyotoa matokeo; hawajasema ni chama gani kimeshinda majumuisho ya kata. Hata hivyo, habari za uhakika sinasema CDM ndiyo inayoongoza kwenye vituo vingi sana ! Peoples poweeeeeeeeeeeeeeerrrrrrrrrrrrrr
V kubwa for Victory 2015 tulivue hili gamba la kenge