Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Status
Not open for further replies.
Tamani na kujaribu huwezi, kajichuwe huku unaitazama hiyo avatar. Unalo?
Hayo maneno ni yawavaa ushungi au umeamua kuifedhehesha dini yetu tukufu ya kiislam???Si bora uvue huo ushungi tujue moja???Kinywa kama unatumia mavi kupiga mswaki badala ya tooth paste!!shame on you. wewe ndo hasa unatakiwa kupigwa kelbu.
 
Nipo Igunga, mvua inapiga sana na inasemekana magari yamekwama mtoni na masanduku
 
Wapi wa jikoni?
nadhani JF hatuja jipanga kupata taarifa vizuri
ilibidi tudonate hela alafu tuwape kama wadau kumi kwa ajili ya chakula na usafiri katika kata na kila mmoja akatuletea matoeo ya kata na tukajumulisha nakujua mshindi ni nani mapema hii ingetusaidia kujua uchakachuaji mapemaaaaaaaaaaa
 
Mkuu mi ni shabiki wa cdm damu lakini mbona hayo matokeo ya awali ni ccm ndio wameshinda tena kwa wingi wa kura, habu jaribu kujumlisha uone.
Kumbe wewe SHABIKI?
Hahah hahahah CDM kama vile timu ya mpira!!
 
acheni ushabiki linapokuja suala la taarifa

CDM wameongoza kwa kura chache mjini, CCM wameongoza kwa kura nyingi vijijini

ni matokeo ya Kata moja pekee yametoka, CUF hawapo kwenye kinyang'anyiro(mseto wake na ccm umekigharimu)
Ni kweli kabisa!
maana, Kwa data ambazo zimetolewa hapo juu, mbona inaonekana CCM wanaongoza!! (CDM 4692, CCM 5975) labda kama kuna data ambazo hamjazipost. So toeni data, tuache ushabiki!
 
Igunga sasa isha anza nitia pressure.... Usingizi wagoma, matokeo bado ndo kwanza nasikia tena yatakua late... Naona hawataki kesho tufanye kazi.
 
ukila makande yalotiwa mafuta ya taa utaacha kucheka-cheka hovyo hapa jamvini.

Huna jipya? ngoja matokeo, au kalale kesho kazi au mwenzetu jobless? na magwanda wakudanganya watakupa utajiri wakichukuwa uongozi? Au ndio wale wakimbizi mnaochukuwa fedha za bure?
 
Na hatuwezi wote shabikia chaka linaloungua ccm hata iweje. Ni ushamba wako kudhani kuwa Chadema itakuja kugawa pesa maana hapo ndio mwisho wako wa kufikiri.
Kaa tena jifunze siasa kisha njoo hapa na wewe uchangie.

kama avatar yako inavyojieleza humtambui Rais inaonesha wewe ndio mwenye upeo mdogo wa kufikiri. Hata KANU ya Kenya bado ina mashabiki. Je mliopo CDM ndio mnajua siasa???Kuandamana na kuvaa magwanda ndio siasa???Kwa staili hii hamtatuwin waTZ, mtaihia kulalamikia uchakachuaji kumbe mnajichakachua wenyewe kwa kuwa na sera za kusema tunataka Tanzania iwe kama Misri, Libya etc isitawalike!!!Hivi nitaunga mkono chama kinachotaka hali amabayo dada na mama zetu watateseka kama waLibya leo???
 
Chadema oyeeee!

Kafumu kwa tafsiri ya kabila fulani inamaanisha "mganga wa jadi". Anyway chadema hatushkiki japo magamba wezi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom