Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Status
Not open for further replies.
Jaman msimlaum Novatus. Alikuwa kilabu cha pombe mara Reinfred Nasako akamuuliza matokeo akakurupuka na pombe ameigida mdomoni akatoa ushuzi ule. Sitaki kuutaja nitatapika.
 
lakini pengine watadhibiti mali asili inayo chakachuliwa kila siku na kusambaza huduma kwa ndugu zetu walio kosa shule, hospitali, barabara, maji na umeme..

Sawa,mimi nakataa notion iliyojengeka hususan hapa JF kuwa lazima vijana wote tuwe CDM wakati kuna vyama lukuki. Narudia, sio lazima wote tuwe huko.
 
radio free africa,matokeo bado,wadishi wapo makao makuu,ni sanduku moja tu la kata moja,limefika makoa makuu,matokeo bado mpaka sasa.
 
Ni kweli Mkuu, kama Chama kilichofungua matawi baada ya yule Fisadi kujivua gamba kinakipelekesha namna hii chama kizee chenye kila zana? Basi ukombozi umefika. Hata mi nashawishika na CDM. They are serious.

Nikijaribu kufuatilia jinsi matokeo yanavyotoka, inaniongezea imani ya kweli kuwa cdm ndo chama cha ukweli cha upinzani Tanganyika!
 
Okey mmmhh Chakachua tuone mwisho wake.Mkikinukisha tuu na sisi huku mjini kitanuka.
 
Matokeo ya kutoa mshindi bado; ingawa haya ya awali yanatoa ishara ya kuwa Watanzania walio wengi wengi hawapo tayari kuendelea kutawaliwa na CCM, nadhani CCM wanaipata joto na kuona ukweli wa moto wa mabadiliko na ukombozi wa wanyonge.
 
Mkuu mi ni shabiki wa cdm damu lakini mbona hayo matokeo ya awali ni ccm ndio wameshinda tena kwa wingi wa kura, habu jaribu kujumlisha uone.
 
Msipokuwa makini watachakachua hawa, na wakishindwa watatangaza matokeo kama kibaki. Be careful
 
Hivi huyu mwalimu wa CDM aliresign kazi yake au aliomba likizo bila malipo?
Sijui ataenda wapi baada ya uchaguzi. Posts zote CDM zimeshajazwa na ndugu zangu wachagga!

we inakuhusu nini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom