Kwa kweli Makamanda wetu huko wamepigana,walijizatiti na idadi ya kura ambazo chadema imepata inatoa taswira ya imani kubwa waliyonayo watanzania kwa Chadema.Tuvute subira.
Pamoja na mapungufu,rafu za hapa na pale bado timu ya CHADEMA imepambana.Yaliyotokea tangu uchaguzi huu uanze yanazidi kutuimarisha.Hata hivyo kuna haja ya kutumia all-round-intellectulism katika kuangalia njia zifaazo kukabiliana na uharamia wa kidemokrasia unaofanywa na chama tawala kupitia vyombo vinavyowajibika serikalini
However,bado tuna safari ndefu ya kidemokrasia si Tanzania tu na hata Afrika kwa ujumla.Africans are too passionate about everything.
An african can rarely be moderately proud, moderately religious, moderately studious, moderately devious, or moderately political.I
any endevour africans put their interest in they're almost always extermistis about it.
So when elections come africans can't just be 'against' a politician, they have to totally and completely hate him to the point of him becoming a personal enemy and when they're for one they're obsessively passionate about their loyalty to the point of blind ignorance.
So when someone loses and they were obsessed with the person, they don't except it and want to fight someone or burn down something.
Sasa chama Tawala kitambue kuwa rafu zozote au hila zikidhihirika na bado state organs zikashindwa kuchukua hatua basi wajua kwamba wanazidi kupoteza imani kwa watu,watu hawataamini tena katika free and fare election.Huko ni kudumaza demokrasia na itakuja kutugharimu sote siku za usoni