Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Status
Not open for further replies.
Breaking News: Matokeo mpaka sasa ni: KATA CCM CDM
Ntoro 730 (CCM) 302 (CDM); Nguvumali 694 (CCM) 284(CDM); Nkinga 1479 (CCM) 1085 (CDM); Itumba 1079 (CCM) 590 (CDM); Nanga 897(CCM) 645(CDM); Igurubi 925(CCM) 592(CDM); Mbutu 1186(CCM) 1426(CDM); Kinungu 505 (CCM) 263 (CDM); Mwisi 926 (CCM) 992 (CDM); Chabutwa 545(CCM) 581(CDM); Ziba 1053(CCM) 860(CDM); Nyandekwa 691(CCM) 613(CDM)
Hizo ni kata 12... katika hizo 9 CCM imeshinda mpaka sasa CDM ni 3 tu... bado kata 14 ili zifike 26..... Kwa sasa CCM inakula 10710... CDM 8233.

mh!!!!!
 
duh..iddntduwt but I SAID IT.chadema guys here in jf very funny POLENI HAH.
 
Soma yangu na hayo yako halafu utajuwa nani katumia nini. Pole sana anza kupumuwa kwa njia zote upunguze stress, magwanda mmeshaanza kuhamanika na kutukana hovyo, mlidhani mtashinda? mnanchekesha!
upo moon huu ndo mwisho wa mwezi ndo mana.
 
Ila kuna kitu kimoja ambacho aidha ni Chama Cha Magamba wanakipropagate ama ni udhaifu wa siasa za upinzani hapa TZ. Hivi mwajua kama kwa wafuasi wa CUF hasa wenye ufahamu mdogo,wasio wachambuzi wa mambo,wengi wao ni Lindi na Mtwara sijui wale wa Tabora,kwamba bora ishinde CCM MAISHA YOTE YA SIASA ZA UPINZANI I.E. Urais,Ubunge,Udiwani.KULIKO CDM ICHUKUE HATA UENYEKITI WA KITONGOJI MAHALI. Hivi ni lini waTZ tutaacha kutazama mambo kikabila na kidini? Kwanini tusiangalie mambo kwa uhalisia wake? Kwanini tusipime na kuchuja mambo kwa kuangalia Output? Kama anaweza apewe..si kwa kuangalia kabila au dini yake.. Mi sidhani kama ule msemo wa "if you can not win them,join them" unaapply kila mara. Ila nadhani CUF inaelekea kukosa dira. Pengine wakae na kujitathmini wanapoteleza. Na kuna haja ya kuwaeleza wafuasi wao dira waliyonayo,mtazamo na msimamo wao. Kwamba wanasimama wapi katika siasa za upinzani hapa nchini. Wajua,cjui Ulaya ikoje ila nadhani Uingereza bila kuwa Anglican ni wakakini tosha kutopata go ahead na kugombea uongozi. Hata nchi za Kiarabu kuna nchi ambazo endapo wewe si Shia uongozi kwako ni ndoto,ama nyingine kama wewe si Sunni uongozi utausikia redioni. Nadhani ili kujenga jamii ya kistaarabu vigezo vya kukataa mtu au kikundi cha watu kwa kabila ama dini tuviondoe akilini mwetu..!
 
Jamvi limechafuka nafikiri FF na wote mnaojibizana kwa maneno yasiyo na maadili mmetumia mambo fulani, haiwezekani mtu mwenye utimamu wa akili anaongea mambo ya kipuuzi kabiasa.
 
Kuna taarifa nimepata sasa hivi kuwa hakuna uwezekano wa matokeo ya mwisho kutangazwa leo. Yatatangazwa kesho asubuhi saa nne. Sababu kuna maeneo mvua imenyesha sana watachelewa kufikisha masanduku halmashauri na kukamilisha zoezi la kujumlisha leo. Usiku mwema.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom