Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Status
Not open for further replies.
safi sana jamaa labda wameona hapafai tena..itakuwa vizuri sana chadema wakishinda..
 
We umekunywa maji ya bendera ya ccm unafikiri unalipi la kunieleza?
Unalipi la kunifunza?
Unalipi safi la kuigwa?
Una hadithi gani nzuri ambayo mjukuu wako ntaweza isikiliza toka kwako?
Una sifa gani njema ya kuigwa?
Unakinywa kipi kisafi chenye ulimi wa staha?
Unakipi wewe
A
J
U
Z
A??


Pole sana na kama hutaki kupumuwa, kaa ungoje matokeo ambayo yatakuzidishia hizo "stress".
 
Nna uhakika hizo ni "stress" za Igunga, pumua kidogo kwa kutumia njia zote za kupumulia, itakusaidia.

mmeo kala hasara,wanao wamekula hasara..kajifunze nidhamu ya maneno ukiwa mbele ya wanaume
 
wewe bahaka wacha kutujazia thread tumechoka mbona hubadiliki kila siku uko kama jina lako au ndo unatafutia watu ban? ila leo umeingiza siku kuliko slave wote wa nepe nahisi nahisi bosi wako anafanya ukaguzi saa hizi hongera sana mwandani wa gamba kuu

Ushayajuwa matokeo nini?
 
Its over. CCM retained the seat, as expected.

Once again, JF continue to defy reality. This place is a bubble. Humu ndani ukisoma unaweza kufikiria Chadema ni bonge la chama, na wanachukua nchi kesho.

Moderators please move this place back to where it belongs. The center. As it is, JF is a waste of platform.


Kweli wewe hamnazo kabisa
 
We umekunywa maji ya bendera ya ccm unafikiri unalipi la kunieleza?
Unalipi la kunifunza?
Unalipi safi la kuigwa?
Una hadithi gani nzuri ambayo mjukuu wako ntaweza isikiliza toka kwako?
Una sifa gani njema ya kuigwa?
Unakinywa kipi kisafi chenye ulimi wa staha?
Unakipi wewe
A
J
U
Z
A??

punguza hasira ndgu. Anafanya kazi aliyotumwa na Nape.
 
Pole sana na kama hutaki kupumuwa, kaa ungoje matokeo ambayo yatakuzidishia hizo "stress".

Wewe mimi sio saizi yako tafuta wazee wenzako.
Mbona unalazimisha ligi na VIJANA?
kupumua alianza baba ako,then ukaja wewe, akaja mwanao now wajukuu.
Haijatosha bado?
 
Kwa nini mitandao ya simu na internet vina sumbua leo igunga? Au planned?
 
source tafadhari,manake watu tunashindwa tushike lipi,mara kata 13 tayari mara kata 4 etc,nawe umeibuka na kata 10!yaani ni kizungumkuti tu!!!!

Ukiona hivyo hizo ndizo kata ambazo ccm imeshinda huko kwingine kote watakuwa miguu chali, nchi hii kila mahali mtandao unakamata kasoro maeneo machache tu mkurugenzi kashindwa kweli kupata matokeo mpaka saa hizi ?
 
Tume inafanya siri kubwa mno lakini pia kuna ugumu wa habari ku flow maana mawasiliano nje ya Igunga mjini nmagumu mno .So Chadema wawe macho .Kama walivyo sema vijana hawajaenda kupiga kura lakini matokeo yanaonyesha Chadema inarindima ndivyo wanataka hila sasa .Hakuna mwenye matokeo ya kata zote ila kuna kata 4 nadhani za vijijini huko CCM walikuwa mbele ya Chadema haya ni matokeo ambayo yalitolewa mapema na Mtabuzi na kumfanya yule mwana CCM aliyeko ITV Makosa sijui mateso yule mzee kushindwa kuelewa akawa ana bwabwaja tu .Ila kazi bado sana sana .Kata 26 si mchezo .

KAFU wako nje na ni aibu sana kwa Mtatiro hata hakuwa KAFU haikuwa threat kwa Chadema kabisa maana kama wanaongoza kwa kupata 0 then ni chama cha wapemba na Bakwata tu .
 
I'm so alergic to MAGAMBA na vibaraka wake kama Rejao, FF na wengineo wa aina hiyo ila cdm mwendo mdundo.
 
mmeo kala hasara,wanao wamekula hasara..kajifunze nidhamu ya maneno ukiwa mbele ya wanaume

Naona leo wote jazba mpaka tunduni, pumuwa kidogo. Kwenye stress wanasema huwezi ku relax, jitahidi kupumuwa ni njia moja ya ku relax na kupunguza munkar. Matokeo utayapata tu, tutakapoamuwa kuyatoa. Kwa kukupunguzia fikra: usifikiri hata kidogo kuwa mnaweza kushinda, sahau.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom