Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Status
Not open for further replies.
Kindly CHADEMA naomba sana tusianze kusheherekea kwani hawa Ccm wanataka kupumbaza watu ili waweze kuchakachua.
 
wadau me leo sipost kitu,tangu asubuhi nipo na ka nokia kangu nafatilia step kwa step,hadi simu imekua ya moto in such a way niki idrop kwenye pipa la maji,yanachemka fasta!
Kwa upepo uliopo huko,naona bdo mshindi hajatabirika wadau!
I wish chadema washinde,furaha yangu haitakuwa na kifani!
Lakini,vipi matokeo ya udiwani,i beliv kwa sasa,obviously matokeo yanajulikana,
naomba kujuzwa wakuu!
VIVA CHADEMA.
 
CCM is slowly gaining momentum, and as it should have been expected, the final results will have it all. I'm wondering if JF Magwandas will be able to maintain their current spirit.
 
Angel Msoffe in the next 3 hours or so be ready to receive my bank account no.
Ndo huyu wa kutoa pesa hii? dau.jpg
 
kweli leo wana igunga wamewamwaga, badala ya kuangalia na kusikiliza mtangazaji anasema nini wewe una munamuangalia yeye?
au hayo matokeo yana kukera sasa unataka kuua messanger

Tunangoja matokeo rasmi.
 
baada ya matokeo ya awali nasikia Lowasa na Rostam wamehamia CDM?
 
Jamani huko mbeya kata zote mbili nzovwe na majengo udiwani zimechukuliwa na chadema, source, mtu kutoka mbeya.

MASAHIHISHO: Kata ya Majengo imechukuliwa na CCM...
 
Mi naona bado muda, kinachochezwa hapo ni mind game!! kwani idadi ya wapiga kura igunga ni kubwa mno, hivyo tusubiri hadi tutakapokuwa tumekaribia hiyo idadi. kwa sasa tuendelee kufanya kazi ya kulinda, kujmlisha na kuzirusha hewani kama tunavyofanya ili kusubiri sarakasi za CCM.

mkuu unatosema ni sahihi maana ni mapema sana tusubiri kura za makumi elfu ndo sahihi
 
CUF wameharibu vibaya inabidi wajipange upya kwa kweli.

Tukitaja CUF tunawapa matumaini, jina lao ni CCM2, sasa Baba yao 'Green guard' anachechemea vibaya, Mama atakuwaje na chembe ya nguvu..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom