Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Status
Not open for further replies.
Wakati mwingine tuache upuuzi vituo vyote vinatangaza matokeo mbele ya wasimamizi wa vyama how can this happen!!! Tatizo lenu mnadhani ukianza kuongoza kitua cha kwanza basi unatakiwa kuongoza vyote siku zote kura za mjini zinakuwa za kwanza kutoka na mara nyingi vyama pinzani huongoza mjini... sasa ya vijijini yakija things changes hapa ndio mnasema kura zimeibiwa ni kujua mathematical aljebra ndogo sana kung'amua haya! Huwezi kusema ngome ni yako alafu unashida na kura 5, 10 au ishirini kwenye kituo... it is simple CCM imelamba jimbo.
ccm ikishinda nakupa 10,000,000
 
second half ya mechi kati ya Tottenham Vs Arsenal ndio inaanza
 
Hivi huyu Fatuma wa ITV hana mbele? naona anaoneshwa nyuma tu, na suruali imebana masaburi kiasi cha kuonesha kuwa kweli yuko kazini.
 
mpaka sasa CDM kwa mujibu wa ITV na asilimia kubwa ya matokeo ya awali yanatia matumaini kwa CDM ila still tunataka matokeo ya huko bush kwenye watu wenye uelewa mdogo.....guyz tupeni ya huko interior!
 
Kwahiyo watu wa vijijini huko Igunga ni wapumbavu wa mwisho kabisa?
Hiyo dharau kwa wananchi wa Igunga ni ya kwako au ya chama chako?
Mimi nawadharau zaidi watu wa miji ya kiswahili....temeke, ilala, bagamoyo, tanga n.k.
Wakati mwingine tuache upuuzi vituo vyote vinatangaza matokeo mbele ya wasimamizi wa vyama how can this happen!!! Tatizo lenu mnadhani ukianza kuongoza kitua cha kwanza basi unatakiwa kuongoza vyote siku zote kura za mjini zinakuwa za kwanza kutoka na mara nyingi vyama pinzani huongoza mjini... sasa ya vijijini yakija things changes hapa ndio mnasema kura zimeibiwa ni kujua mathematical aljebra ndogo sana kung'amua haya!

Huwezi kusema ngome ni yako alafu unashida na kura 5, 10 au ishirini kwenye kituo... it is simple CCM imelamba jimbo.
 
CDM wangeungana na CUF wangeweza kushinda lakini kilichotokea Igunga Vijijini ni mgawanyiko wa kura kati ya CUF na CDM na hivyo kuipa ushindi CCM, haya ni mambo ya kujifunza chaguzi zijazo.

Ingebidi ufute macho yako yaelekea yana tongotongo....! CHADEMA ijiunge na CUF? Chadema ijiunge na CCM2? kweli akili ni nywele...!pole sana,,,
 
Mi naona bado muda, kinachochezwa hapo ni mind game!! kwani idadi ya wapiga kura igunga ni kubwa mno, hivyo tusubiri hadi tutakapokuwa tumekaribia hiyo idadi. kwa sasa tuendelee kufanya kazi ya kulinda, kujmlisha na kuzirusha hewani kama tunavyofanya ili kusubiri sarakasi za CCM.
 
Hivi huyu Fatuma wa ITV hana mbele? naona anaoneshwa nyuma tu, na suruali imebana masaburi kiasi cha kuonesha kuwa kweli yuko kazini.
Ahahahahaahh!! Mkuu unafuatilia matokeo au....
 
Hivi huyu Fatuma wa ITV hana mbele? naona anaoneshwa nyuma tu, na suruali imebana masaburi kiasi cha kuonesha kuwa kweli yuko kazini.
Yaani acha tu kinachonivutia sasa kuangalia itv ni huyo dada mapaja mh! Hips ndo hvo tena makalio mashaalah! Dah ananibamba walah! Na sauti yake ndo ananimaliza kabisa mweeeh
 
Kwa jinsi matokeo yanavyoeendelea Igunga hata kama ccm ingeshinda kitu ambacho ni kigumu bado inaonyesha wazi wazi kwamba 2015 ccm hawana lao. CCM has lost the mandate of leading this nation.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom