Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Status
Not open for further replies.
kuna jitu (siyo Wassira) moja la CCM huko lina roho mbaya, silipendi maana lenyewe linajua ushindi kwa CCM tu hata kama watu wafe. hili ni jitu baya sana ambalo kwa kweli linatakiwa kupelekwa The Hegue likabanwe naniliu na plaizi.



Mkuu sura yake inawakilisha roho yake.
 
Mkuu upuuzi gani tena huo wakati ni dhahiri kuwa CCM wametumia flawed voter registry?, Balozi wa nyumba kumi ana haki gani ya kuandikisha wapiga kura? na kuwajua yupi ni yupi?, Demokrasia gani hiyo?. CCM ni lazima wajitangaze wameshinda no doubt ila tally za kweli zinawasuta kuwa sasa wanapoteza ushawishi.

Ninakuhakikishia kuwa CCM wajitangaza wameshinda japo hawatashinda kwa kura halali za wana-Igunga ila mzimu huu utawaandama kila wakati mtakapokuwa mnasikia neno uchaguzi. The only way kwa CCM kushinda ni kuwapatia wananchi wote mazingira mazuri ya kujikimu na maisha yao.

Matumizi ya pesa si tu yataifanya CCM kuendelea kuwa chini ya wimbi la ufisadi bali yaifanya CCM isifanye mambo ya msingi kwa ajili ya nchi ili kuweka hazina ya kuwabakiza madarakani. Sooner or later CCM will be either will be de facto ruling party or will be forced to relinguish power unwillingly.

Won't argue with you any more i think we are in thinking/listerning different WAVELENGTH!!! Good evening, morning, afternoon, night whichev appropriate to you depending wherever you are now!

In short matokeo ya vituo vya mjini vichache sana tells you mshindi ni chama pinzani au tawala, regardless of CCM or CDM or whatever!!!
 
wadau me leo sipost kitu,tangu asubuhi nipo na ka nokia kangu nafatilia step kwa step,hadi simu imekua ya moto in such a way niki idrop kwenye pipa la maji,yanachemka fasta!
Kwa upepo uliopo huko,naona bdo mshindi hajatabirika wadau!
I wish chadema washinde,furaha yangu haitakuwa na kifani!
Lakini,vipi matokeo ya udiwani,i beliv kwa sasa,obviously matokeo yanajulikana,
naomba kujuzwa wakuu!
VIVA CHADEMA.

Zito Kabwe
Chadema imeshinda kata za Endasak, Hanang na Masekelo Shy mjini #chaguzizaMadiwani23
 
this is the best demonstration,inawezekana kabisa kufanya mabadiliko.2015 ikizidishwa nguvu kidogo wanaondoka,hii siyo vita waTZ wanahitaji changes.
Kweli kabisa, nguvu kidogo tu 2015 wanatoka.
 
Majimbo ya mbeya yamechukuliwa na cdm
 
Matokeo yaliyotangawza hivi punde na ITV
CDM
CCM
98
57
73
60
69
69
74
1
15
71
54
64
52
72
46
73
82
80
54
66
86
55
703
668

Matokeo haya ni kutoka vituo vilivyopo kata ya Mwamzegi / Mwanzugi (mwandishi hakutamka vizuri jina la hii kata) hivyo ninaweza nimekosea spellings na pia kutoka Mana Simba.
 
Mitandao ya internet haipatikani, Waandishi wa habari wanapata taabu. Source: ufoo saro
 
Latest Updates....

[TABLE="width: 192"]
[TR]
[TD="class: xl72, width: 64"][/TD]
[TD="class: xl68, width: 64"]CCM[/TD]
[TD="class: xl69, width: 64"]CDM[/TD]
[TD="class: xl70, width: 64"]CUF[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl71"][/TD]
[TD="class: xl66"]63[/TD]
[TD="class: xl66"]78[/TD]
[TD="class: xl66"]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl71"][/TD]
[TD="class: xl65"]41[/TD]
[TD="class: xl65"]33[/TD]
[TD="class: xl65"]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl71"][/TD]
[TD="class: xl65"]35[/TD]
[TD="class: xl65"]20[/TD]
[TD="class: xl65"]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl71"][/TD]
[TD="class: xl67"]51[/TD]
[TD="class: xl67"]57[/TD]
[TD="class: xl67"]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl71"][/TD]
[TD="class: xl67"]45[/TD]
[TD="class: xl67"]31[/TD]
[TD="class: xl67"]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl72"]JUMLA[/TD]
[TD="class: xl68"]235[/TD]
[TD="class: xl69"]219[/TD]
[TD="class: xl70"]0[/TD]
[/TR]
[/TABLE]



Sources ITV - Ufoo Saro
 
mmmmh kweli hapo kazi ipo,hebu tusubiri matokeo ya vijijini,maana huko ndiko uchakachuaji unapotokea
 
Kwenye kata ya Mwisi anakotoka RA na Igoweko tumeongoza kwa zaidi ya 60%
Mnastahili pongezi mkuu.Hongereni sana.Tunasubiri tu matokeo rasmi.Ushindi ni wenu na mtegemee wanachama lukuki zaidi watakao kuwa inspired na ushindi wenu.
 
namsikia mwakilishi wa ITV akilalamika kuwa mitandao ya net haifunguki kabisha je ni hujma au ni kawaida
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom