Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 16,043
- 7,477
Kama Igunga.
Ayaaaa aseno kapigwa moja
Ayaaaa aseno kapigwa moja
Asante na kule Serengeti?Jamani huko mbeya kata zote mbili nzovwe na majengo udiwani zimechukuliwa na chadema, source, mtu kutoka mbeya.
Hahaha..haya bana.nisije nikamuua bure mtoto wa watu. Nataka aende akanyee debe ukonga pipoz wakikamata dola.
Ujue hapo jamaa wanakuna vichwa watokaje ikiwa hali itaendelea kuwa kama ilivyo. Msishangae matokeo haya yakachua hata siku mbili kutangazwa baada ya hali kuwa ngumu.
Eti watu CDM ingeunganisha kura na CUF wangeing'oa CCM kirahisi! CUF ni kama imekufa Mtatiro huitaji PhD kujifunza kuwa umekalia kuti kavu hebu changanya akili utoe maamuzi magumu kwa faida yako.
Najua watu wanahamasa sana; matokeo kwa kadiri yanavyotoka hadi hivi sasa bado ni kiwango cha chini sana kuweza kujua mwelekeo (trend) ya ushindi. Hadi tutakapoanza kuzungumzia "maelfu" hapo ndipo tutajua kura zinaendaje sana. Vyovyote vile ilivyo hata hivyo kitu kinaitwa "momentum" ambayo CDM inaionesha kama inazidi kuongezeka basi ndio tujue kuwa CCM imekataliwa kweli kweli Igunga.
Tupo tuna monitor....
Jf ni chanzo cha habari cha haraka sana hapa tanzania,,,,,,,,,,
Jf ni chanzo cha habari cha haraka sana hapa tanzania,,,,,,,,,,
Ahahahaaah!!!mkuu afadhali huyo wa kunywa sumu na kufa je ambaye atatembea uchi na tutaendelea kuwa naye.
chadema waechukua moja,ccm wamechukua moja.Jamani huko mbeya kata zote mbili nzovwe na majengo udiwani zimechukuliwa na chadema, source, mtu kutoka mbeya.
Kwa matokeo machache sana ya Igunga mjini namenifanya niamini CCM ndio mshindi jimbo la IGUNGA. Kwa CDM kusinda jimbo hili walitakiwa waiache CCM kwa mbali sana mijini... Kitendo cha kuicha CCM kupumua mjini... then it is gone... MSHINDI ni CCM, period.
Kuna mtu ana summary ya vituo vingapi vimeshatoa matokeo na nani anaongoza hadi sasa?