Not_Yet_Uhuru
JF-Expert Member
- Oct 11, 2010
- 1,304
- 444
We ngedere, subiri matokeo ya jumla. Si lazima ujaze pumba zako za kipuuzi hapa.
Waarabu hutambuana kwa vilemba..... Ngedere umemtambuaje kama nawe siye?... CCM ipo kufani..., Zambian style...
We ngedere, subiri matokeo ya jumla. Si lazima ujaze pumba zako za kipuuzi hapa.
Tupe ushahidi wa matokeo.CCM wanalikomboa jimbo la Igunga bila wasiwasi...
Hivi huyu Fatuma wa ITV hana mbele? naona anaoneshwa nyuma tu, na suruali imebana masaburi kiasi cha kuonesha kuwa kweli yuko kazini.
refresh mind.
asernal01-thm01.mia
Unaota!!!!! Kama akili ndiyo hii alikupa Maanani, basi tena!Subiri uone watu watakavyolia hapa baadae kidogo, bado tunakusanya matokeo ya vijijini na huku mchuano ni kati ya CCM na CUF.
MASAKO ccm E e
Wakati mwingine tuache upuuzi vituo vyote vinatangaza matokeo mbele ya wasimamizi wa vyama how can this happen!!! Tatizo lenu siku zote kura za mjini zinakuwa za kwanza kutoka na mara nyingi vyama pinzani huongoza mjini... sasa ya vijijini yakija things changes hapa ndio mnasema kura zimeibiwa ni kujua mathematical aljebra ndogo sana kung'amua haya!
Huwezi kusema ngome ni yako alafu unashida na kura 5, 10 au ishirini kwenye kituo... it is simple CCM imelamba jimbo.
MASAKO ccm E e
Kwa jinsi matokeo yanavyoeendelea Igunga hata kama ccm ingeshinda kitu ambacho ni kigumu bado inaonyesha wazi wazi kwamba 2015 ccm hawana lao. CCM has lost the mandate of leading this nation.
Japokuwa CCM inashinda lakini CDM wamejitahidi sana, hii ni nzuri sana kwa Demokrasia ya kweli.