ndetichia
Platinum Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,589
Totenham 1 arsenal 0 mfungaji van de vart sasa ni halftime.
back ti topic
Totenham 1 arsenal 0 mfungaji van de vart sasa ni halftime.
Hapana mkuu,sijawahi kuwa na chama.I ama now contemplating.Nashukuru kwa kunikaribisha.
Najua watu wanahamasa sana; matokeo kwa kadiri yanavyotoka hadi hivi sasa bado ni kiwango cha chini sana kuweza kujua mwelekeo (trend) ya ushindi. Hadi tutakapoanza kuzungumzia "maelfu" hapo ndipo tutajua kura zinaendaje sana. Vyovyote vile ilivyo hata hivyo kitu kinaitwa "momentum" ambayo CDM inaionesha kama inazidi kuongezeka basi ndio tujue kuwa CCM imekataliwa kweli kweli Igunga.
Tupo tuna monitor....
Ni sahihi tofuati bado ni ndogo ambayo haikufanyi utembee kifua mbele kwamba shangilia ushindi unakuja. Tuombe Mungu kusitokee matukio yatakayopelea matokeo kukataliwa.Najua watu wanahamasa sana; matokeo kwa kadiri yanavyotoka hadi hivi sasa bado ni kiwango cha chini sana kuweza kujua mwelekeo (trend) ya ushindi. Hadi tutakapoanza kuzungumzia "maelfu" hapo ndipo tutajua kura zinaendaje sana. Vyovyote vile ilivyo hata hivyo kitu kinaitwa "momentum" ambayo CDM inaionesha kama inazidi kuongezeka basi ndio tujue kuwa CCM imekataliwa kweli kweli Igunga.
Tupo tuna monitor....
Mpatie japo maji ajipooze.
Mwanzo mzuri bila shaka tutashinda
Lol...huyu pia lazima tumnyweshe aisee?Na yule wa kunywa sumu sijui hali yake ikoje anavyosikia haya matokeo ya awali.
Umeamua kuwa mshauri rika??CDM wangeungana na CUF wangeweza kushinda lakini kilichotokea Igunga Vijijini ni mgawanyiko wa kura kati ya CUF na CDM na hivyo kuipa ushindi CCM, haya ni mambo ya kujifunza chaguzi zijazo.
Ujue hapo jamaa wanakuna vichwa watokaje ikiwa hali itaendelea kuwa kama ilivyo. Msishangae matokeo haya yakachua hata siku mbili kutangazwa baada ya hali kuwa ngumu.Yaliyo kusha bandikwa jumla cdm 1526 ccm 1230
Na yule wa kunywa sumu sijui hali yake ikoje anavyosikia haya matokeo ya awali.