Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Kwa wapenzi wa cinema palikua na kumbi maarufu sana za Plaza na ABC ingawa hadi leo sijui wamiliki walikua akina nani

Yule mhindi alikuwa akiitwa solanki au suresh kama sikosei.
Na kile kigari chake cheupe bado kipo moshi.
Mara ya mwisho kigari nilikiona kwenye ule mtaa wa pili kabla ya kufika shule ya msingi mwenge ukitokea njia ya soko la juu!
 
Uzi niliuwahi kabla nika miss katikati ila umeenda vzr.
Mkuu jmushi1 una kumbukumbu nzuri sana na moshi unaijua. Of course na wadau wengine mmetisha kwa memories.

Hivi John Jeep siku hizi yupo wapi? Hivi yule si alikiwa shombe wa kigiriki au?
John yupo, ana garage moja opposite na ile Hotel ya mmojawapo wa hao Laswai's inayoitwa Kilimanajro Cranes. Ni chotara wa kitaliano.
 
Panaitwa Milans kwasasa. Hao waliotoka mji mpya primary ni miaka gani hiyo? However palikuwa popular, nadhani hata kama hukusoma pale mjini, lazima utakuwa umeshafika hapo kwani palikuwa soo popular kwa watoto especially wanafunzi kwasababu ya koni. Ndo alikuwa kama Bhakhresa wa Moshi.

Opposite na benki ya mawenzi kulikua na kaduka ka mhindi anauza juice ya kutengenezea nyumbani. Mnamkumbuka? Nadhani jina lake 'bandia'. Alikuwa anavaa KAPTULA tu. Juisi chupa ndogo fupi. Juisi sijui zina spices gani zile za kihindi hindi ila tam sana. Hivi mzee bandia kuna aliemuona sk za karibuni?

Halaf mtaa huo huo kuna mhindi mwingine mwembamba anapenda kutoa meno nje nae toka miaka hiyo anavaa kaptula hadi leo!
 
Uyu muhindi alikua anaitwa pandia duuu nimekumbuka kitambo kweli alikua akupi juice mpaka airushe juu chupa izunguke af anaidaka ndio anakupatia juice yako. Alikua opposite na nmb mandela sijui kama yupo yule mzee
 
LOL..yaani we unamjua yule mzee. Ila ile juice sjui alikua anachanganyaje. Ni formula yake tu
 
Opposite na benki ya mawenzi kulikua na kaduka ka mhindi anauza juice ya kutengenezea nyumbani. Mnamkumbuka? Nadhani jina lake 'bandia'. Alikuwa anavaa KAPTULA tu. Juisi chupa ndogo fupi. Juisi sijui zina spices gani zile za kihindi hindi ila tam sana. Hivi mzee bandia kuna aliemuona sk za karibuni?

Halaf mtaa huo huo kuna mhindi mwingine mwembamba anapenda kutoa meno nje nae toka miaka hiyo anavaa kaptula hadi leo!
Pandia uyooo asee
 
Mkuu u
Kware umenikumbusha mbali sana na kukamata maparadee. Alafu nilikuwa ni muoga wa ndege maana zilikuwa zikianza kunguruma nilikuwa sivuki uwanja mpaka ipae ipotelee, sasa baada ya hapo natoka ndukii breki ya kwanza home soweto
menikumbusha mbali sana, kukamata kware kule kiwanja xha ndege ,daah,nilikuwa natoroka shule mwereni anenda kiwanja cha ndege na compan yangu kwenda kuiba karanga soweto na kukamata maparadee kiwanjani
 
Zamani sana yaani natakuwa kuwa mdogo maana haya majukumu niliyonayo ni shida
 
Opposite na benki ya mawenzi kulikua na kaduka ka mhindi anauza juice ya kutengenezea nyumbani. Mnamkumbuka? Nadhani jina lake 'bandia'. Alikuwa anavaa KAPTULA tu. Juisi chupa ndogo fupi. Juisi sijui zina spices gani zile za kihindi hindi ila tam sana. Hivi mzee bandia kuna aliemuona sk za karibuni?

Halaf mtaa huo huo kuna mhindi mwingine mwembamba anapenda kutoa meno nje nae toka miaka hiyo anavaa kaptula hadi leo!
Taka kubwa dogo?😀😀😀
 
Kaka yake babu mmoja alikuwa ni padri stationed in Nairobi. Huko alipojifunza kurusha ndege.
Mzee Sambeke alikuwa na watoto wa aina zote Babu alikuwa jambazi,Kaka yake upadri alianzia West Africa.Kulikuwa na story nyumbani kwake pale karanga kulikuwa na handaki eti gari likiingia linatoka limebadilishwa kila kitu
 
Sio Babu anaitwa "Bob Sambeke" Huyu Jamaa nilifahamiana nae Mwaka 2012 Nakumbuka nilikuwa Kidato cha Nne, Nilifahamiana nae Baada ya Kukatiza uwanja Mdogo wa Ndege wa soweto (Nikiwa natoka TPC,Kupitia Dar es Salaam Street), Kukatiza Pale tukakamatwa na walinzi wa Airport pale, wakatuonesha Sheria na ibara kibao za Uchukuzi wa Anga wakidai tulipe Dola 200 wakati ule kama 400K, tulikuwa wanne.. Ndipo akatokea Huyo mtu anaitwa Bob Sambeke Wakati ule Bob alikuwa mtu wa makamo na alikuwa akimiliki ndege Mbili zilizokuwa zikipaki Pale uwanja wa Ndege SOweto.. Bob alikuwa mtu Mkorofi.. Katika Hali yake akaanza kutupigisha story (Bob Hadi walinzi walikuwa Wakimwogopa).. Kilatini kuna Msemo unasema "In Vino Veritas" yaani katika Pombe/Kilevi kuna ukweli..Muhusika lazima Aongee ukweli Fulani!
Bob akasema yeye hawezi kufa kwa ugonjwa, Kifo chake kinatakiwa kiwe cha Risasi au Ajali ya Ndege!
Baada ya Bob kuondoka Ndipo Yule Mlinzi akafunguka kuwa Bob alishawahi kuwa Jambazi na Mali zake alizichuma kwa Njia hiyo hasa hasa, pia ikumbukwe Bob alishawahi Kuwa Mwanajeshi...Alikuwa Tajiri Mkubwa Mno!
Muda Mchache Baadaye Nahani 2012/2013 Bob alipata crash ya Ndege Uwanja wa Ndege Arusha Pale..Bob Alifariki (Mungu Amrehemu)
Alikuja Kuzikwa Pale Parokia ya Karanga Moshi..Kanisa lililokuwa karibu sana na Bweni letu... Sikuhudhuria Misa ila niliona Barabara yote inayoelekea Kanisani kama 1 KM ilijazwa na Magari... Nasikia Kanisani hawakuficha kusema Kuwa Bob aliwahi kuwa Jambazi!

Kwako Mtoa Mada!
Hata ujenzi wa hilo kanisa familia ya Sambeke wametoa mchango mkubwa sana
 
Back
Top Bottom