AbaMukulu
JF-Expert Member
- Jan 1, 2018
- 2,070
- 3,618
Umenikumbusha kuna jamaa alinunua hiace mo town zimetoka Japan na neno ISHIKAWA.Hivi kwanini Wachaga enzi hizo walipenda kuziita bar zao majina ya Stereo,ukikuta baa imeandikwa sijui sterio jua ya Mchaga,Kinondoni Stereo
BASI ndio likawa jina la gari zake. Yule jamaa sikumbuki jina lake lilikuwa nani.