HUWEZI KUWA TAJIRI KWENYE NCHI MA$IKINI.
kuna mzee mmoja mjasiriamali hapa bongo ni tajiri kupindukia kwa sasa ana miaka (75-80)anaheshimika sana ni mtu wa DINI tena sana, miaka ya 70 katikati alikamatwa kwa uwindaji haramu wa pembe za NDOVU akafikishwa kwa, Ticha, akamuuliza; wewe kijana ni yatima na unajinasibu kama mjasiriamali, kwanini unatia AIBU hii familia yako!? baba yako hakuwa hivi, bali mzalendo sana kwa nchi na taifa lake.mshua akamsamehe, lakini 60% ukwasi wake imetokana na DEAL HARAMU, na sasa anakubalika na kupendwa HA$WA, kwakua amejificha kwenye DINI.