Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

jmushi1 historia ya Moshi yote iko kichwani mwako,
Hivi nani alikuwa anamiliki Changbay ?

Hebu tukumbushe kuna basi lilikuwa linaenda Arusha likatumbukia mto Karanga

Nikiwa mdogo nakumbuka KCMC kulikuwa na mgonjwa alikuwa amepooza alikuwa mshabiki wa Yanga aliitwa Mrema wikiendi watu wengi walikuwa wanaenda kumtembelea alilazwa pale zaidi ya miaka 10

Kulikuwa na Mzee Athuman Mwariko alikuwa na kikundi cha sanaa kuna kipindi aligombea ubunge Moshi Mjini
 
lilikuwa basi la Safina mkuu
 
Changbay inamilikiwa na mama mmoja hivi ambaye alianza kuwa maarufu kwa jina la “mama kuku”.

Basi lilotumbukia mto Karanga, lilikuwa likiitwa Safina! Kuna watu walitajirikia pale, maana wafanyabiashara enzi hizo walisafiri na kiasi kikubwa cha pesa kwenda kununua bidhaa kutoka Dar to Nairobi, Arusha na Moshi.

Mzee Mwariko sina uhakika kuhusu alipo kwa sasa, ila alikuwa na gallery maeneo ya Dar St kama sikosei ilikuwa ikiitwa Mwariko’s Art Gallery. Enzi hizo mzee Makassy akiwepo kama sikosei.
 
Opposite na benki ya mawenzi kulikua na kaduka ka mhindi anauza juice ya kutengenezea nyumbani. Mnamkumbuka? Nadhani jina lake 'bandia'. Alikuwa anavaa KAPTULA tu. Juisi chupa ndogo fupi. Juisi sijui zina spices gani zile za kihindi hindi ila tam sana. Hivi mzee bandia kuna aliemuona sk za karibuni?

Halaf mtaa huo huo kuna mhindi mwingine mwembamba anapenda kutoa meno nje nae toka miaka hiyo anavaa kaptula hadi leo!
“Taka kubba taka dogo”?😀
 
Aliandika maishapopote

Nimegundua watu wa aina niliyoitaja hapo Juu,Hawajulikani kabisa Hapa Dar es Salaam,sijajua sababu ila nadhani matajiri wa hapa Dar wanapata media Coverage nyingi na pia wanapata connection nyingi mno na Kuwa Mega kama sio Super Rich Kabisa au Maarufu kuliko wa mikoani.

Kwa kuwa wanaaminika na na kujulikana mno huwa wanawafunika wa Mikoani kwa Kila kitu,na hata hawa wa mikoani wakija Hapa Dar huwa wanakosa exposure na kujiamini kabisa.

Leo nawaleta kwenu watu Maarufu,Matajiri,Watoto wa Mjini,ambao wapo Mkoa wa Kilimanjaro hususani Moshi Mjini na Arusha,Naomba wadau wa Mikoa hii wanisaidie kujazia Nyama na Information na kutaja majina Mengine Ambayo yatasaidia kuwapa Exposure Wenzetu Hawa

Karibuni

1.Patrick Ngiloi Ulomi: Mfanyabiashara maarufu mno mikoa Hiyo anamiliki vituo vya Mafuta vya kutosha,Hotel za Kitalii za Kutosha,supermarket za kutosha, na Pia Anamiliki timu ya Mpira wa Miguu iliyoyoko Ligi Daraja la Kwanza Tanzania.
  • Anapendwa Mno
  • Anaheshimika Mno
  • Amesaidia Vijana wengi Ajira
kwa sasa Anaishi Moshi baada ya Kuhama Dar es Salaam

2.Laswai 🙁Trust Bureau de Change)
Huyu Ni Mfanyabiashara mwingine maarufu mno mkoani kilimanjaro,hayupo social sana ila anajulikana anamiliki hoteli kadhaa za kitalii ikiwemo Kibo Palace,pia akiwa kama Main Importer wa betri za Tiger,Utitiri wa bureau de change(mkumbuke Moshi na Arusha ni miji ya Kitalii)
na biashara nyingine nyingi.
  • Anaheshimika Mno
  • Multi Trade
Anaishi Moshi na Arusha.

3.Philemon Ndesamburo (Retired MP-CDM)
Need to say More?
  • Keys Hotel And Apartments( Moshi,Dar and Arusha)
  • Keys Hotel and apartments (London)
  • Keys Tours and Safaris-hapa Vehicles zote ni VX
  • Kilimanjaro Marathon Host and owner
4.Willy Lucas Tarimo-Snow Crest Original Owner
  • utitiri wa Vituo vya Mafuta
  • Hotel za Kitalii,ikiwemo snowcrest( ina Mgogoro)
  • and other Business.

5. Papa King-Mining
Owner of Triple A Investment.

Update:

6.Sunda: Mining and other Investment

7.Benson :Electronics Internet and Mobile Networks

7. Mrema: Impala Hotels,Ngurdoto Hotel,Naura Springs

8.Mathias Manga: Mining esp.Tanzanite

9.Willy Chambulo..aka Kaburu: Tourism and Hospitality ( Kibo Guides and Hotels)

10.Michael Ngaleku Shirima: Aviation ( Precision Air)

11.Pandit: Tanzanite

12.Kanunga;Tanzanite and Mining

13.Mbise: Hotels and Accomodation

14.Shidollya Tours;Tourism and Hospitality

15.Charles Makoi: Hotels and Hospitality

16.Alex Masawe (*******) tumweke au tumtoe

17.Mawalla Advocate; lawyers and Advocates

18.Gody : Tanzanite and Gemstone

19.Curthbert Swai: Ahsante Tours Moshi

20.Seif : cultural heritage( Vinyago na urembo)

naendelea kuzibadilisha kadri itakavyoonekana,inaonekana Makoi watu wanaona kashachoka,kuna kina Njake sijaona katajwa humu,list ikifika watu 100 wanaoeleweka tunaanza kuwapanga kwa number from baba lao,to upcoming Bilionairs.

Moshi naona mmezubaa wengi hapa ni matajiri wa arusha,siwaoni kina maleko,boisafi na wengineo nashindwa kuwachomeka maana sijui vizuri hali zao kwa sasa...pls update me

Karibuni
 
jmushi1 historia ya Moshi yote iko kichwani mwako,
Hivi nani alikuwa anamiliki Changbay ?

Hebu tukumbushe kuna basi lilikuwa linaenda Arusha likatumbukia mto Karanga

Nikiwa mdogo nakumbuka KCMC kulikuwa na mgonjwa alikuwa amepooza alikuwa mshabiki wa Yanga aliitwa Mrema wikiendi watu wengi walikuwa wanaenda kumtembelea alilazwa pale zaidi ya miaka 10

Kulikuwa na Mzee Athuman Mwariko alikuwa na kikundi cha sanaa kuna kipindi aligombea ubunge Moshi Mjini
Yule mgonjwa ni kichwani tu ndo alikuwa anahisia,mwariko alikuwa na kikundi cha kibisa tuawakumbuka akina auga,mama kauvumbi,na wengineo zama hazijirudii wallah.
 
Yule mgonjwa ni kichwani tu ndo alikuwa anahisia,mwariko alikuwa na kikundi cha kibisa tuawakumbuka akina auga,mama kauvumbi,na wengineo zama hazijirudii wallah.
Nakumbuka Mrema alikuwa anajifunika mashuka/blanketi ya kijani (alikuwa mshabiki mkubwa wa Yanga)
 
Back
Top Bottom