Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 24,717
- 44,116
HahahahahaHuyo hana akili..
Yeye yuko marekani lakini mama yake anaangalia Tv la chogo na sofa iliyochanika..
Yeye na ubinafsi asijitenganishe..
HahahahahaHuyo hana akili..
Yeye yuko marekani lakini mama yake anaangalia Tv la chogo na sofa iliyochanika..
Yeye na ubinafsi asijitenganishe..
Aangalie asiliwe kuridhisha wadudu maana hawatakagi tamaa izidi mkikosea wanakukuleni.sasa akizidisha ujinga analiwa tu.Japokuwa kwao wakina Ibra wanashirikisha sana. Na anachokesea jamaa ni kudhulumu mpaka wafanyakazi wake,hii ni mbaya sana.
Oooh!!!lina miti fulani ile ya mikungu???No lile ni la jamaa fulani Maro,hilo lipo upande wa kushoto ukiwa unatokea Keys Hotel kwenda Rau baada ya kupita Wazalendo Secondary pale Chuo cha Ushirika.
Yap lile ni ghofu but ndani lina facilities zote na za thamani lakini halali mtu. Kuna kipindi walijaribu kuwafuata Chuo cha Ushirika ili iwe kama Hostel,wanafunzi walipolala hakukulalika kabisa.Oooh!!!lina miti fulani ile ya mikungu???
Anaitwa nan mkuu uyo mwenye Machame safari??maana gari zake nzuri sanaNamjua Mkuu, kafanyaje?
Hua nasikia story kua la Mama Anna Mkapa japo sina uhakika kama ni kweli au laYap lile ni ghofu but ndani lina facilities zote na za thamani lakini halali mtu. Kuna kipindi walijaribu kuwafuata Chuo cha Ushirika ili iwe kama Hostel,wanafunzi walipolala hakukulalika kabisa.
Nimesoma Moshi Primary kipindi hicho. Tunaenda kuokota Makungu pale nje ya Fensi. Ukicgungulia ndani ya Fensi huoni mtu zaidi ya mkata nyasi tena kwa kutumia mashine kipindi hicho tunashangaa na kujiuliza labda wanaishi wazungu. Maana hatukuwa kuona mazingira ya kuishi watu. Kumbe balaa lake ndiyo hilo? Ahsante Mkuu.Yap lile ni ghofu but ndani lina facilities zote na za thamani lakini halali mtu. Kuna kipindi walijaribu kuwafuata Chuo cha Ushirika ili iwe kama Hostel,wanafunzi walipolala hakukulalika kabisa.
Kuna Machame Safari na Machame Investment. Yule wa Machame Safari anaitwa somebody Mengi na anaishi Moshi,huyo wa Machame Investment jina lake limenitoka but anaishi Kondoa.Anaitwa nan mkuu uyo mwenye Machame safari??maana gari zake nzuri sana
Machame investment km sikosei ukoo wake ni Kweka.Machame safari huwa nikikosa Kilimanjaro bus,napanda hzo maana wanahuduma nzuri Sana tho sikujua km uyo ndio muhusika.Kuna Machame Safari na Machame Investment. Yule wa Machame Safari anaitwa somebody Mengi na anaishi Moshi,huyo wa Machame Investment jina lake limenitoka but anaishi Kondoa.
Si lake but kuna kipindi alitaka kuingia mkenge kulinunua watu wakamtonya kuwa huo ni mzimu akaachana nalo. Hivi hujiulizi jengo lile lilivyo prime area kiasi kile the late Ndesamburo hakuliona?Hua nasikia story kua la Mama Anna Mkapa japo sina uhakika kama ni kweli au la
Yaani kama 'warumu' pale ndio Makao yao.Nimesoma Moshi Primary kipindi hicho. Tunaenda kuokota Makungu pale nje ya Fensi. Ukicgungulia ndani ya Fensi huoni mtu zaidi ya mkata nyasi tena kwa kutumia mashine kipindi hicho tunashangaa na kujiuliza labda wanaishi wazungu. Maana hatukuwa kuona mazingira ya kuishi watu. Kumbe balaa lake ndiyo hilo? Ahsante Mkuu.
Hivi jonh lekule wa majengo yupo wapi sk hizi?
Mambo ya magari yanayopotea nairobi na kuonekana moshi...!
Anaishi Sowote hivi sasa. Yuko vizuri ofcourse kuna miaka nyuma kati aliyumba sana hadi mke akamkimbia. Sasa hivi kampuni yake ya ujenzi iko vizuri sana, pia ana kiwanda cha kutengeneza chokaa. Mtaa anaokaa Soweto wote lami hadi getini.Bosco Chuwa wa Dsm Street?
Kaprocon ni Ngorika zilizo badilishwa rangi baada ya vijana kugombea maliHivi vijana wa mzee mberesero wenye gari road ni wangapi?
Kuna mtu kaniambia hadi Kapricon ni dynasty za familia yao
Disco toto YMCA?Ahhh sana tu mweeh
Hasa nikikumbuka disco lile
Enzi zile mnaingia wote,si watoto,wakubwa
Soda yako tu
Wewe utakua umemaliza la saba btn 1994-1996Huu uz umenikumbusha my home town, my school mwereni, na tution kwa mwalimu makoondoo pale majengo
Uko sahihi, nawashangaa sana wale wanaosema Moshi iko vilevile. Hata sijui wanachomaanisha. Hata mimi nimekuta huge difference. Hilo la machalii kuwa impacted linafahamika, na pia nadhani ni issue ya nchi nzima kwa ujumla, sema uchaggani wanabanwa Zaidi.Tena ukizingatia na huyu mkulu wa sasa anasema wasubiri maendeleo kwasababu eti "walishaendelea"?Huwa napita mara chache kama transit nikiwa na safari zangu naiona Moshi imebadilika
Japo mji umekua lakini ule uchangamfu wake wa miaka ile haupo tena
Yaelekea mzunguko wa pesa pia ni mgumu. Baadhi ya machalii angu wa huko wamechoka na maisha yamewapiga hasa
Wengi wa wanaofanya vizuri ni wale waliotoka nje ya mji huo na kutafiuta maisha kwengine
Unajua Moshi watu waliamka longtime na fursa nyingi za biashara kwa pale mjini zipo saturated. Watu walishawahi almost everything
Charles?ana litoto lake kule majengo kwa mtei na alikuwa akizalisha ni kopi laiti.
Lazima ulisoma Mawenzi Primary wewe.😎Mweehh hapahapa town tu
Born there there
Nguvu ya Marehemu Baba yake Bene Athuman ChuwaAnaishi Sowote hivi sasa. Yuko vizuri ofcourse kuna miaka nyuma kati aliyumba sana hadi mke akamkimbia. Sasa hivi kampuni yake ya ujenzi iko vizuri sana, pia ana kiwanda cha kutengeneza chokaa. Mtaa anaokaa Soweto wote lami hadi getini.