Karibu na kwa mzee Kavishe agent wa bonite au??Kwa uzi tujuane wandugu.mm sio mchaga ila nilikaa moshi dsm street.kwenye nyumba ya lekule.majirani zangu alikuwepo akina malik baada ya wazazi wao kufariki akawa mwizi walikuwa na nyumba.akina chale walikuwa wanachezea kipigo kutoka kwa baba yao kila siku.akina keffa sijui yuko wap?akina nassoro na wile watu wa mbeya sijui wako wap.ila enzi hizo kulikuwa na vibaka si mchezo
Aliitwa jumanne alitokeaga tanga kunani,wenzie wakamwambia gari hizo hazinaga makosa na hazikamatwi.yeye akajitutumua kuzikamata.majipu na machunusi yalimtoka makubwa kama taa treni.akawa amenyoka baada ya kupelekwa kuomba msamaha.aaah Kirenga mzoefuuuNilisikia kuna askari mmoja alikuwa akivaa tuu gwanda basi mwili mzima majipu
Na Michael Dada je.Nimesoma Korongoni yaani duhh hivi yule Kinje yupoge nime-miss sana au alishafariki
Mkuu we namba ya majengo nini?Hivi jonh lekule wa majengo yupo wapi sk hizi?
Mambo ya magari yanayopotea nairobi na kuonekana moshi...!
Nyumba ilikuwa ya mwisho ile barabara inakunja kwenda chini.kiwanja cha ndege tunakiona kileeeKaribu na kwa mzee Kavishe agent wa bonite au??
Na Michael Dada je.
hapana...Kumbe babu sambeke ndio huyo Billionaire Erasto Msuya ............ duh ndio nimejua leo
huyu nimemtaja sababu hilo jina kinje ninaemjua alikuwa shoga fulani hivi sasa alifundishwa na huyo michael sasa watu wakamwita michael dada.sasa nikahisi unamzungumzia kinje huyo.Embu mfafanue maana niliingia pake mwaka 1998-2005
tumekamata kware sana kiwanjani mule nyasini.Nyumba ilikuwa ya mwisho ile barabara inakunja kwenda chini.kiwanja cha ndege tunakiona kileee
tumekamata kware sana kiwanjani mule nyasini.
zama hazirudi tena mkuu,zilijuwa siku tamu mno.Kware umenikumbusha mbali sana na kukamata maparadee. Alafu nilikuwa ni muoga wa ndege maana zilikuwa zikianza kunguruma nilikuwa sivuki uwanja mpaka ipae ipotelee, sasa baada ya hapo natoka ndukii breki ya kwanza home soweto
Nyumba ilikuwa ya mwisho ile barabara inakunja kwenda chini.kiwanja cha ndege tunakiona kileee
zama hazirudi tena mkuu,zilijuwa siku tamu mno.
panzi mimi nawaogopa hata sasa guu la nyuma.Huwezi amini nilikuwa muoga wa panzi kinoma. Kama na-sweta la shule navua kisha namnyatia panzi kisha namtupia huko maana ile miguu yake ya nyuma(hopper) akikupiga nayo inauma kishenzi. Kwa hiyo nikishamdaka nampekea home nachukua box la dawa ya mswaki namtengenezea partition kisha ile chai yangu natafuta kisude namwekea na kipande kidogo cha mkate. Ohhhhh najuta kukuaa jamanii maana majukumu ni mengi aisehhh
Nyama unakula halafu hutaki wanyama wauwawe!!!?Achana na hisia za ukatili Mzigua.
Kwani wanyama wao hawapendi kuishi? Unadhani na wao huwa hawasikii maumivu hususan wanapouawa kikatili?
Nyama nakula na nazipenda sana ila pia huwa nawaonea huruma wanyama jinsi wanavyouawa.
Naamini kabisa hata wao hupenda kuishi maisha marefu yenye furaha tele.
Sisi binadamu ni makatili sana kiasili.
Duuh!Haruni! Alikuwa lambalamba sana jamaa. Yeye ulevi wake mkubwa Zaidi ya hiyo kuberi ni mademu. Alikuwa hakosi Safary Rally, enzi hizo mara zote akipata nafasi ya kwanza na gari yake ikiwa namba 1. Kuna wakati pia Babu Sambeke aliingia na yule chotara walikuwa wakimuita John Jeep. Waliikuwa namba 4. Walipata ajali mbaya sana. Ndipo chanzo cha sura ya babu Sambeke kuwa na makovu. John Jeep yeye alitenguka kiuno. Ila wote pia walikuwa wanapita na mademu kwa kasi ya ajabu. Walikuwa players mbaya.
Enzi za biashara ya kitobo kila mchaga mjini moshi lazima amiliki Toyota Stout kwa ajili ya kubebea mizigo ya magendo