shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
PhilipsKipindi hicho nadhani ndio zile radio za Stereo za kijapani Panasonic na Hitachi ndio zilikuwa zinaingia miaka tisini mwanzoni na zilikuwa maarufu na aghali. Mfano Super Stereo Bar Temeke Hospital ndio likazaa jina la soko la Super Stereo