Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,831
- 6,878
Nawafahamu hao Kisinane mkuu. Actually nadhani amekuwa underestimated. Huyu alikuwa na pesa kabla hata ya hao kina Mengi.
BTW Reginald Mengi pia ana mdogo wake anaitwa Benjamin Mengi nayeye pia ana miradi kadhaa na ana pesa. Hata kule Shanty town ana hotel moja siyo mbaya pametulia kiaina.
Benjamin Mengi alikuwa na kiwanda cha dawa. Kipo hapo chini ya ile chuo cha Northern kilichojengwa chini ya kiwango.
Sasa alikuwa anaagiza dawa ulaya kisha akija anazipack kisha anauza. Sasa walikuwa wanakula na mzungu sasa mzungu alipovujisha siri kwamba hakuna kiwanda ni usanii tu anaufanya Ben Mengi ikabidi TRA wampige deni la kukwepa kodi mpaka akakifilisi kiwanda.
Ila sisi wachagga ni shida mpaka huyu RC Mgwhira anasema tuna hela lakini viwanda hatutaki kuwekeza. Hela tamu kuliko demu wangu