Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Yap lile ni ghofu but ndani lina facilities zote na za thamani lakini halali mtu. Kuna kipindi walijaribu kuwafuata Chuo cha Ushirika ili iwe kama Hostel,wanafunzi walipolala hakukulalika kabisa.
Nilikuwa nikihisi ni la mzee Mwacha yule baba yao kina Ben Mwacha. Maana ndo alikuwa very close na wakuu kuanzia wa mkoa hadi polisi. Kila akija mpya lazima atambulishwe kwake. Na huo mkataba alioingia na huyo mwarabu kama sikosei, akamgeuka maana serikali ilikuwa mfukoni mwake.
 
Mk
mkuu kwa jani watu walitoka mji mpya primary kwenda kwa jani.jani ni sheedah.sasa hivi miembeni pr
Panaitwa Milans kwasasa. Hao waliotoka mji mpya primary ni miaka gani hiyo? However palikuwa popular, nadhani hata kama hukusoma pale mjini, lazima utakuwa umeshafika hapo kwani palikuwa soo popular kwa watoto especially wanafunzi kwasababu ya koni. Ndo alikuwa kama Bhakhresa wa Moshi.
 
Anaishi Sowote hivi sasa. Yuko vizuri ofcourse kuna miaka nyuma kati aliyumba sana hadi mke akamkimbia. Sasa hivi kampuni yake ya ujenzi iko vizuri sana, pia ana kiwanda cha kutengeneza chokaa. Mtaa anaokaa Soweto wote lami hadi getini.
Jamaa alikua mjanja longtime kitambo aisee, anamdogo wake au mwanae alikua anaitwa Ester, sijui alikua na tatizo gani lakini kila mara alikua anapelekwa polisi na kulala mahabusu
 
Panaitwa Milans kwasasa. Hao waliotoka mji mpya primary ni miaka gani hiyo? However palikuwa popular, nadhani hata kama hukusoma pale mjini, lazima utakuwa umeshafika hapo kwani palikuwa soo popular kwa watoto especially wanafunzi kwasababu ya koni. Ndo alikuwa kama Bhakhresa wa Moshi.
Hivi Milans bado ipo?!
Na yule babu alikua anakaanga mihogo karibu na milans jina lake limenitoka kidogo..
 
Back
Top Bottom