Mwanae ndio wenye snow crast?Labda ya yule mzee Mwacha? Yule mzee aliyekuwa na watoto wake kina Ben Mwacha the late.
Mwanae ndio wenye snow crast?Labda ya yule mzee Mwacha? Yule mzee aliyekuwa na watoto wake kina Ben Mwacha the late.
Sio Babu anaitwa "Bob Sambeke" Huyu Jamaa nilifahamiana nae Mwaka 2012 Nakumbuka nilikuwa Kidato cha Nne, Nilifahamiana nae Baada ya Kukatiza uwanja Mdogo wa Ndege wa soweto (Nikiwa natoka TPC,Kupitia Dar es Salaam Street), Kukatiza Pale tukakamatwa na walinzi wa Airport pale, wakatuonesha Sheria na ibara kibao za Uchukuzi wa Anga wakidai tulipe Dola 200 wakati ule kama 400K, tulikuwa wanne.. Ndipo akatokea Huyo mtu anaitwa Bob Sambeke Wakati ule Bob alikuwa mtu wa makamo na alikuwa akimiliki ndege Mbili zilizokuwa zikipaki Pale uwanja wa Ndege SOweto.. Bob alikuwa mtu Mkorofi.. Katika Hali yake akaanza kutupigisha story (Bob Hadi walinzi walikuwa Wakimwogopa).. Kilatini kuna Msemo unasema "In Vino Veritas" yaani katika Pombe/Kilevi kuna ukweli..Muhusika lazima Aongee ukweli Fulani!Babuu Sambeke
Ha ha kidumbuyo yuko wapi huyu mzee?alikua na gorofa pale daraja karib na kibo matchHawa wote mliowataja ni wa miaka hii tuu. HapoKale walikuepo kina :Kisinani tarimo, Natanaeli Matowo, Paul Kyauka, Aikael Mbowe, Alexanda Itaeli, ,Phillips Sharra Olotu ,Elimonysa Kimei ,Kidumbuyo, Tarawia, A slam Garage.
Alikuwa anapenda watoto wazuri, wakati huo tunasoma tuliambiwa akikupenda huwezi kumkataa. Ilibidi wote tumjue na ukumuona unaanza kumuomba Mungu akuepushe nae.Sio Babu anaitwa "Bob Sambeke" Huyu Jamaa nilifahamiana nae Mwaka 2012 Nakumbuka nilikuwa Kidato cha Nne, Nilifahamiana nae Baada ya Kukatiza uwanja Mdogo wa Ndege wa soweto (Nikiwa natoka TPC,Kupitia Dar es Salaam Street), Kukatiza Pale tukakamatwa na walinzi wa Airport pale, wakatuonesha Sheria na ibara kibao za Uchukuzi wa Anga wakidai tulipe Dola 200 wakati ule kama 400K, tulikuwa wanne.. Ndipo akatokea Huyo mtu anaitwa Bob Sambeke Wakati ule Bob alikuwa mtu wa makamo na alikuwa akimiliki ndege Mbili zilizokuwa zikipaki Pale uwanja wa Ndege SOweto.. Bob alikuwa mtu Mkorofi.. Katika Hali yake akaanza kutupigisha story (Bob Hadi walinzi walikuwa Wakimwogopa).. Kilatini kuna Msemo unasema "In Vino Veritas" yaani katika Pombe/Kilevi kuna ukweli..Muhusika lazima Aongee ukweli Fulani!
Bob akasema yeye hawezi kufa kwa ugonjwa, Kifo chake kinatakiwa kiwe cha Risasi au Ajali ya Ndege!
Baada ya Bob kuondoka Ndipo Yule Mlinzi akafunguka kuwa Bob alishawahi kuwa Jambazi na Mali zake alizichuma kwa Njia hiyo hasa hasa, pia ikumbukwe Bob alishawahi Kuwa Mwanajeshi...Alikuwa Tajiri Mkubwa Mno!
Muda Mchache Baadaye Nahani 2012/2013 Bob alipata crash ya Ndege Uwanja wa Ndege Arusha Pale..Bob Alifariki (Mungu Amrehemu)
Alikuja Kuzikwa Pale Parokia ya Karanga Moshi..Kanisa lililokuwa karibu sana na Bweni letu... Sikuhudhuria Misa ila niliona Barabara yote inayoelekea Kanisani kama 1 KM ilijazwa na Magari... Nasikia Kanisani hawakuficha kusema Kuwa Bob aliwahi kuwa Jambazi!
Kwako Mtoa Mada!
Ooh..ok okEee alifariki Nyaga Mawalla kaacha mali lukuki sa hivi yuko Adv. Wilfred Mawalla anakomaa
Ndio huyu mwenye mabasi ya kilimanjaro hadi sasa?
Sawamimi huwa nakuelewa sana, nafikiri ni wachache mno wanakuelewa kwa kiwango changu.
msamehe ameteleza rafiki yangu
Usisahau hilux mashavu wazee wa kitobo na samak nyumba ya Mungu wanazijua vemaToyota Stout zilikua gari hasa. Sijui kwanini mjapan aliacha kutengeneza zile gari
karibuSawa
Niliandika sentensi yenye maneno manne tu majibu nimepewa gazeti sijui kufanya kazi serikalini mara kuandika vitabu mara she's smart.. JF nako katoo nyingi sana bwana khaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kipenzi potezea mpendwa
Kuna Kipindi nadhani Mwezi Julai 2012, tulikuwa tunacheza uwanja wa shule mida ya saa 10, Bob alipitisha Ndege yake mita chache saana juu ya uwanja, Kila Mtu alitawanyika, ilionekana Bob ni mtu asiyejali hata kidogo, wanasema pale soweto alikuwa anakodisha ndege zake yaani ukae nayo hewani nususaa/Lisaa.. ila watu hawakutaka yeye awe Pilot..kwa maana anavofly sio kawaida.. Pia ikumbukwe inadaiwa Bob hajawahi kusomea UrubaniAlikuwa anapenda watoto wazuri, wakati huo tunasoma tuliambiwa akikuoenda huwezi kumkataa. Ilibidi wote tumjue na ukumuona unaangalia kumuomba Mungu akuepushe nae.
Kumbe Jamal karithi kazi ya babake jeshini eeh? na yeye anarusha ndege za jeshiSio Babu anaitwa "Bob Sambeke" Huyu Jamaa nilifahamiana nae Mwaka 2012 Nakumbuka nilikuwa Kidato cha Nne, Nilifahamiana nae Baada ya Kukatiza uwanja Mdogo wa Ndege wa soweto (Nikiwa natoka TPC,Kupitia Dar es Salaam Street), Kukatiza Pale tukakamatwa na walinzi wa Airport pale, wakatuonesha Sheria na ibara kibao za Uchukuzi wa Anga wakidai tulipe Dola 200 wakati ule kama 400K, tulikuwa wanne.. Ndipo akatokea Huyo mtu anaitwa Bob Sambeke Wakati ule Bob alikuwa mtu wa makamo na alikuwa akimiliki ndege Mbili zilizokuwa zikipaki Pale uwanja wa Ndege SOweto.. Bob alikuwa mtu Mkorofi.. Katika Hali yake akaanza kutupigisha story (Bob Hadi walinzi walikuwa Wakimwogopa).. Kilatini kuna Msemo unasema "In Vino Veritas" yaani katika Pombe/Kilevi kuna ukweli..Muhusika lazima Aongee ukweli Fulani!
Bob akasema yeye hawezi kufa kwa ugonjwa, Kifo chake kinatakiwa kiwe cha Risasi au Ajali ya Ndege!
Baada ya Bob kuondoka Ndipo Yule Mlinzi akafunguka kuwa Bob alishawahi kuwa Jambazi na Mali zake alizichuma kwa Njia hiyo hasa hasa, pia ikumbukwe Bob alishawahi Kuwa Mwanajeshi...Alikuwa Tajiri Mkubwa Mno!
Muda Mchache Baadaye Nahani 2012/2013 Bob alipata crash ya Ndege Uwanja wa Ndege Arusha Pale..Bob Alifariki (Mungu Amrehemu)
Alikuja Kuzikwa Pale Parokia ya Karanga Moshi..Kanisa lililokuwa karibu sana na Bweni letu... Sikuhudhuria Misa ila niliona Barabara yote inayoelekea Kanisani kama 1 KM ilijazwa na Magari... Nasikia Kanisani hawakuficha kusema Kuwa Bob aliwahi kuwa Jambazi!
Kwako Mtoa Mada!
siku zote mtu akitaka kuniboa atumie neno "mimi" nime"Niliandika sentensi yenye maneno manne tu majibu nimepewa gazeti sijui kufanya kazi serikalini mara kuandika vitabu mara she's smart.. JF nako katoo nyingi sana bwana khaaa
Nimemtafakari kwelisiku zote mtu akitaka kuniboa atumie neno "mimi" nime"
sijaaliwa kujisifia hata kidogo, nikiona mtu anajisifia huwa namwona tak tak (taka)
wala usitafakari upepo, jf memba usiyemjua hesabu ni upepo, upepo usikunyime amani, huku tumepitia mengi mazuri na mabaya, uache upepo upiteeeNimemtafakari kweli
jamaa ana kiwanda cha sigara nigeria, sio mwenzetu tenaHapana si huyo,lile ghorofa nilisikia ni la Mkibosho fulani hivi jina limenitoka kidogo alianza Ujenzi baada ya hatua fulani alashindwa kulimalizia so akamtafuta Mwarabu fulani wakaingia nae mkataba kuwa alimalizie then afungue hotel wapeane miaka Mwarabu wa kulitumia baada ya hapo Mkibosho achukue chake.
Sasa lilipoisha tuu Mkibosho akamgeuzia kibao Mwarabu kuwa hawana mkataba wowote, Mwarabu hapa alizidiwa sababu jamaa alishakamata vyombo vyote vya Dola wakati ule RPC Kilimanjaro ni Chiko. Mwarabu akaaga kuwa anaenda kwao na harudi tena Tanzania lakini cha Moto atakiona. Kweli Mwarabu akaondoka zake, kuanzia pale ikawa halali mtu mule ndani kuanzia Mmiliki wala wageni na pia jamaa hamkuwahi kupata usingizi kwa miaka kazaa mpaka anakufa.
Hahahaa Maybe.. Nilikuwa Yankii at that Moment.. ila Nilielewa Jinsi Mzee alivokuwa anarun Mambo yake.. ila sitosahau alivosema kifo chake hakitakuwa kufa kizembe...Either Ndege au Risasi.. Mashuhuda waliopo Arusha Airport wanadai walimtaarifu Bob kuwa Muda aliotaka kwenda kutua Pale hautofaa maana inadaiwa ilikuwa jioni kuelekea saa Moja.. Bob akadai hivo hivo Nakuja (Moshi Kuishi---Arusha Bata)..Bob unaambiwa katika Kutua akahit Mti.. Kwa Speed inayokadiriwa kuwa sawa na Escape Velocity!Kumbe Jamal karithi kazi ya babake jeshini eeh? na yeye anarusha ndege za jeshi
What a way of justifying one's povertyHabari za mida wana jf
Kipindi nakuwa moshi town pale wenyewe wanapaita mji wa wagumu, kulikuwa na matajiri wanajulikana na kusifika sana.
Walikuwa maarufu sana hadi makanisani.Ukienda kanisani ukimwona hata mke wake unabaki waooo
Walikuwa hadi na siti zao kristu mfalme pale.waliishi uzungun,wengine njia ya old moshi.
Kuna siku tumeenda nyumbani kwa rafiki yetu mmoja tulikuwa tunasomanaye mafundisho kanisan maeneo ya uzunguni kule,huo mjumba looh tulibak mdomo wazi.Na ilikuwa first time naona swimming pool nyumban.
Anyway zama zimepita, wengi wameaga dunia,wengine wapo ila umaarufu sio kama zamani.Nilikuwa natoka familia ya kikapuku kabisa so nilitaman siku moja at least na sisi family yetu iweze kuwa na jina kama family zile ama hata visenti tu.
Kuna mzee mmoja alikuwa maarufu sana hapo moshi town,alikuwa na maduka,garages,mabar,mabasi na biashara kibao.Alikuwa anaheshimika kama mfanyabiashara mkubwa moshi.Na wengi tuliamini hivyo.Bwana weeh siku moja katika harakati zake,akapatwa na majanga kwenye mbuga za Kenya, akapigwa risasi akafa,wenzie walifanikiwa kukimbia.Ikaja fahamika mzee alikuwa mwindaji haramu kwenye mbuga ya tsavo,alikuwa anawinda tembo na kuuza pembe na ndio ulikuwa siri ya utajiri wake.
Alirudishwa moshi akaenda zikwa kwao migombani ,after wards Mali zile zikayeyuka kama barafu. Since then nikajifunza kutokutamani cha mtu kwani hujui kakipataje. Utajiri una siri kubwa so vijana wenzangu tufanye kazi.Usiamini story za nilianza na kushona viatu stend,huwa hawasemi ukweli.
Ni jengo la national haousing lile
MOSOINgoja niendeleze list kidogo,
Temba watch
Solani & sons
Boisafi
Deo Lekule
Ibra Shayo
Maleko enterprises
Marenga investment
Machare