Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Huyu jamaa ni R. Sawaya!! Ana garage yake kitambo sana majengo kama unaenda kwa Mtei pale, enzi hizooo hakuna english medium

Alianza na vicosta vya kwenda Rombo na Marangu enzi hizooo viliitwa Neema!!

Baadae akaadvance akaanza na basi kubwa kutoka mkoa hadi mkoa akabadili jina zikaitwa Sawaya ambalo ni jina lake la ukoo!!

Basi la Sawaya miaka ya 90 lilipata ajali kubwa sana likau watu wengi na kabla ya hapo alikuwa na viajali vidogo vidogo so baada ya hiyo ajali kubwa akabadili jina akaita Kilimanjaro zilikuwa na rangi ya Kijani mgomba na nyuma alipaka kama nyeusi hivi zilitalakaa sana mpaka Mbeya, Singida zilifika!!

Baadae akayauza yote hasa baada ya kupata kashfa ya wizi wa matairi, akaja na mfumo huu wa basi chache mpya na Luxury!! Ambao kwa namna moja au nyingi amepiga bao la hatariii
Daa umetaja Neema na Sawaya ukanikumbusha mbali Sana enzi za akina Harambee bus za mzee Abdiel Lyimo
 
Utajiri wa Mtei kidogo ukiusoma unaweza leta maana,vipi kuhu

Ndesamburo
Kimei
Kimaro
Huyu mwenye Kilimanjaro express
Mremi wa dar ex
Na huyu wa kidia one mzee wa bata
Sabaya wa Kilimanjaro Bus naona sahivi amelinunua lile jengo pale round about zamani vodacom.
 
Wazee wa Moshi mnajikumbusha. Yule Alfred Masawe alikuwa wa wapi aliwahi kufungu Hotel moja Dar inaitwa AM Hotel niliwahi kulala siku moja, mapokezi kuna tangazo kubwa pale "Management haitahusika na upotevu wa mali ya mteja, tafadhali kabidhisha mali yako Mapokezi" Ukiweka mzigo tu usiku wanaume hao wanakuja kuuchukua na wanafanya kumkwangua receptionist kidogo, wazambia na Wacongo walilizwa sana pale, kumbe ni mwenye ndio alikuwa anapiga.
Hao wa AM Hotel ndo kina Alex Massawe
 
Hapana tulikuwa tunaamin katika Mungu na kufanya kazi kwa bidii,kumbe wenzetu wanasali huku wanaweka jitihada binafsi za halamu
Basi ulikuwa tajiri mkuu kama ulikuwa unafanya kazi kwa bidii ...au imani yako kwa Mungu na kufanya kazi kwa bidii ilikuwa haiendi na matendo maana wakati mwingine imani pasipo matendo ni sawa na bure
 
Siku zote najuaga wewe ni Me.
Kawaida mbona because am smart
Mie naandika na kupresent maripot daily huku serikalin
So huwez kuta naandika kama kina nanihii
Nimepikwa nikapikika
Halafu mmezoea watu smart ni me tu
So pathetic
Nimeandika vitabu 5 hadi nagraduate
So it's normal
I know kujipresent
Siandikagi sentensi zenye xoxo kama kina f f f f
 
Kwa sasa hakuna tajiri wala maskini,wote tunaisoma namba,wale walizoea kupiga madili yao kwa kushirikiana na watu wa TRA,mambo ni magumu mbayaaaa,biashara haziendi,huko kwenye mabenki watu wanakimbia kama wezi,maisha yamebadilika,ulichonacho kwa sasa ndicho hicho hicho,kichunge.
 
Back
Top Bottom