Barnabas Mashamba
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 503
- 1,435
Kumbe wale ni wapambe nuksi tu?Misiri kaenda Juzi kiwanda kinaota tu kama mchicha?. Achana na wapambe ndugu yangu.
Kumbe wale ni wapambe nuksi tu?Misiri kaenda Juzi kiwanda kinaota tu kama mchicha?. Achana na wapambe ndugu yangu.
kwamba hicho kiwanda kimejengwa ndani ya miezi 6?Hujasikia leo ikisemwa kiwanda cha leo ni matokeo ya ziara kule Misri? Hujamsikia Makala akimwomba mama aongeze zaidi safari za nje ili wawekezaji zaidi waje?
Hivyo basi, ni matunda ya ziara za awamu ya sita na siyo kujifungia kwa awamu ya tano.
Kabisa mtumishi mwenzangu maisha yamekuwa magumu sanaMh. Rais tunajua unayo mengi ya kufanya lkn hali zetu za kimaisha watumishi wa umma hasa kada za chini (mishahara ya nyanya) tunakufa mama ebu lichukue kama swala nyeti...
Chadomo mnaomba poMama Samia,
1. Unajua kuwa una maadui wa ile timu aliyoiacha "mwenzio"?
2. Unajua hao ndugu wa mwezio hawajaridhika Bado wewe kuwepo hapo?
3. Unajua kuwa kuna hujuma dhidi yako? Unahujumiwa nawe umejisahau.
Sasa mama umepigwa hujuma nzito, huku mtaani haunogi, wasikupambe hao wanaokubebea miavuli, wanakudanganya kulinda ugali wao. Watu wana chuki na wewe.
Fanya hivi.
(a) Mtoe FREEMAN MBOWE gerezani kupitia DPP, hapo umehujumiwa na hujashtuka(umepigwa kanyanga na wazandiki, mmoja huyo mvaa gwanda la policcm).
Ukitaka uupige mwingi, Mtoe mwenyekiti wa chama Chao hao CHADEMA na weka maridhiano nao, naapa utakuwa umeupiga mwingi.
(b) Kuna wajinga wanakuhujumu kwenye upandaji wa bidhaa, kaa chini, utafakari, una vyanzo vingi vya kupata taarifa, ila kwa hapa umepigwa.
Kidumu chama chenu Cha Mapinduzi!!!!!!!!
Kivipi mkuu! Unaona mmeshtukiwa sukuma gang?Chadomo mnaomba po
USSR
Hahhaaa yaani mmtishe kuwa mta andamana mapaka kieleweke kuhusu katiba na tume huru kisha nyie ndo muwe ndugu zake?Mama Samia,
1. Unajua kuwa una maadui wa ile timu aliyoiacha "mwenzio"?
2. Unajua hao ndugu wa mwezio hawajaridhika Bado wewe kuwepo hapo?
3. Unajua kuwa kuna hujuma dhidi yako? Unahujumiwa nawe umejisahau.
Sasa mama umepigwa hujuma nzito, huku mtaani haunogi, wasikupambe hao wanaokubebea miavuli, wanakudanganya kulinda ugali wao. Watu wana chuki na wewe.
Fanya hivi.
(a) Mtoe FREEMAN MBOWE gerezani kupitia DPP, hapo umehujumiwa na hujashtuka(umepigwa kanyanga na wazandiki, mmoja huyo mvaa gwanda la policcm).
Ukitaka uupige mwingi, Mtoe mwenyekiti wa chama Chao hao CHADEMA na weka maridhiano nao, naapa utakuwa umeupiga mwingi.
(b) Kuna wajinga wanakuhujumu kwenye upandaji wa bidhaa, kaa chini, utafakari, una vyanzo vingi vya kupata taarifa, ila kwa hapa umepigwa.
Kidumu chama chenu Cha Mapinduzi!!!!!!!!
Mengine naona ni yeye mwenyewe ndio anapanga. Anahitaji awe na akili ya aina gani kujua mbowe sio gaidi? Hata hili nalo tunasema anadanganywa?Serikali ya Mwendazake alitakiwa aiache imsaidie kazi miezi mitatu tu ya mwanzo huku akijipanga, kisha aipige chini, siyo kuendelea nayo. Sasa hakuuanika, ataendelea kuutwanga mbichi.
Huku mtaani ukweli ni kuwa raia hawamsomi!
Madabganye godmother wakoKesi iko mahakamani Kama nyinginezo.......
Rais hayuko mahakamani......
Huku mitaani mzunguko wa pesa umeanza kuonekana na mh.Samia ananoga haswa......
#Siempre JMT