Bavicha msinene kwa lugha! Muda bado!

Mbaya wenu si alishakufa na mkashangilia sana?

Si mnapumua nyie?
 
Leo ndiyo kalikoroga zaidi ni heri angekaa kimya kama hajamsikia zitto. Ugaidi na heshima wapi na wapi?
Inashangaza sana kwa rais kufikiria kumuachia gaidi baada ya maombi ya Zitto. Kumbe ilikua ni dharau na siyo ugaidi?

Anataka vyama vya upinzani vimpigie magoti!?
 
Sauti inatosha bila shaka.
IMG-20210731-WA0001.jpg
 
Ni jambo la kawaida na limezoeleka kwa Wakristo kuombea hii either maombi binafsi kikundi au hata kanisa, pia Waislam mara kwa mara huomba dua kwa hii nchi yetu nzuri sana.

NI NINI HASWA HUWA KINAOMBWA KWA AJILI YA NCHI.
1. AMANI IWEPO
2.UPENDO BAINA YA RAIA NA RAIA NA VIONGOZI NA RAIA WA KAWAIDA , BAINA YA WAISLAM NA WAKRISTO NA DINI NYINGINE HATA WAPAGANI.
ndio maana unaona nchi hii watu wa imani tofauti hawagombani usidhani inatokea tu jua kuwa kuna watu wanafunga na kuomba
3. HAKI ITENDEKE KATIKA VYOMBO VYOTE
4. TUSIUGUE MAGONJWA YA AJABU AJABU AU MAGONJWA YA MICHONGO kama neno hili michongo linavyo paa na kujipa umaarufu kila uchwao.
5.TUFANIKIWE.
NA MAOMBI MENGINE MENGI TU.

Tatizo linakuja pale ambapo rais hajui kama nchi inaombewa sana anafikiri amani ni JIWE LA MSINGI LILILOWEKWA TANZANIA NA HALIWEZI KUONDOLEWA KAMWE. Hayo ni mawazo maovu sana hasa kwa mtu wa dini kama wewe mama yetu.

Wewe rais wetu unajua kabisa mambo unayofanya kwa hila au kwa uonevu NAKUHAKIKISHIA MBELE ZA MWENYEZI MUNGU UKIENDELEA NA HIZO HILA UTAADHIBIWA WEWE BINAFSI LAKINI PIA UNAIWEKA NCHI HII HATARINI KWA MIKONO YAKO MWENYEWE.
Mwanamke mpumbavu huaribu nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.
ACHA KUONEA WATU. ACHA KUFANYA MAMBO KWA HILA .ACHA KUTESA WANAMAOMBI KWA MAKUSUDI UTAKUFA KIROHO NA HATA KIMWILI.
OGOPA MTU ANAYEKUOMBEA AFU WE UNAFANYA MAKUSUDI HUKU UKIJUA .

MWISHO NAOMBA MUNGU AKUSAIDIE. SIJAKUTISHA NIMEKWAMBIA UKWELI UBADILIKE KAMA HUTAKI ENDELEA.
 
Hivi ushungi ni utamaduni au Imani unahusiana na mtu?

Kama ni utamaduni sawa hata wamasai wana wao,kama ni Imani Mwaisa sina jibu mtubad.
 
Hivi ushungi ni utamaduni au Imani unahusiana na mtu?

Kama ni utamaduni sawa hata wamasai wana wao,kama ni Imani Mwaisa sina jibu mtubad.
Kwa hapa kwetu naona inaendana na imani au na mazingira ya kukulia. Sasa mtu kazaliwa kwenye familia ya kiislam unategemea atakosa kuzoea ushungi hatakama ni jambazi sugu mwanamke? Ni sawa na umshangae mtu kubeba biblia au kuvaa tai na masuti kila mara huku ni mchawi hatari. YESU ALISEMA UTAWATAMBUA WATU KWA MATENDO YAO. SIO MUONEKANO AU MANENO. MNAZI HAUWEZI KUZAA NJUGU MAWE.
 
raisi wangu nakuomba utatue vyema vikundi hivi 2 kati ya ccm nape vs ccm polepole sababu huwez kujua ni kundi gani linakuangushia gari bovu na nyuma ya kila kundi kuna watu wazito ambao siri yao kubwa ni ukimya na wanaishi nyuma ya pazia KAZI NJEMAAA
 
Ila Rais tembelea halmashauri ya kilolo watumishi hasa walimu hawawatendeu haki hasahasa idara ya sekondary! Nimekaa Ile halmashauri Iko ovyo sana,na ili upate maelezo nenda kaongee na walimu wenyewe na sio utawala utajua matatizo ya ile halmashauri! Kwa ujumla Kila jambo ktk halmashauri Ile Iko nyuma sana,viongoz wa juu kaz yao n kuwakandamiza tu waliochin! Kwa mfno. Mwl anaandika barua ya likizo lkn malipo anakuja yapata pnd anaporud likizo,Kuna walimu wanamadai lkn mpaka Leo hii hawajalipwa,wkt wewe kama rais unaambiwa kuwa hakuna maden. Njoo ujionee mwenyewe
 
Rais Bora wa muda wote wa nchi za Afrika pengine dunia mzima. Viva Samia suluhu Hassan
117631466_whatsappimage2021-03-19at10.26.37.jpg
 
Tunajua wazi Rais anaongoza serikali ambayo ni Mhimili kati mihimili 3 ya dola, mingine ikiwa ni Bunge na Mahakama.
Serikali ndiyo injini ya shughuli zote za nchi ikiwemo kukusanya mapato na kupanga matumizi. Bunge linapokea mapendekezo yake na kuyakubali au kuyaboresha au hata kuyakataa. Mahakama itashughulika na haki za watu zilizovunjwa na watu ikiwemo serikali yenyewe.
Tangu serikali ya awamu ya 5 ilipoingia madarakani ilijinasibu kwa kutokubali matumizi ya fedha za Umma yasiyo ya lazima, lakini ikaasisi utamaduni mpya wa Mikusanyiko ya viongozi isiyo na umuhimu Bali ni matumizi mabaya ya fedha za Umma. Kikao Kama cha Jana cha kuliana saini ujenzi wa SGR Mkutopora - Tabora anakuwepo Spika, Jaji Mkuu, na Wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na Usalama, Mawaziri wote, manaibu wao, Makatibu Wakuu wa Wizara zote, Wakuu wa Mikoa na wilaya za karibu. Wakati mwingine mambo kama haya yalifanyika Chato na niliowataja wakasafiri toka Dodoma na Dar es salaam na wasaidizi kibao kwenye misafara yao.
Utamaduni huu ukaigwa na mikoa na wilaya zote nchini. Naibu waziri Elimu akifika wilayani kukagua miradi msafara wake kama wa Waziri Mkuu. Gari la DMO, Mhandisi Ujenzi, Afisa kilimo wilaya, DC, OCD, DSO, Mshauri wa Mgambo wilaya na msafara unaongozwa na gari la Polisi lenye askari sita au zaidi. Unajiuliza nchi hii ni masikini kweli au Mimi tu ndo masikini?
Hebu angalia utamaduni huu wa ovyo unaotafuna raslimali za nchi kwa kisingizio cha team work.
Huu ni ulaji tu hakuna la maana linalofanyika maana wengine tangu mwanzo wa ziara mpaka mwisho wa ziara hakuna wanachofanya zaidi ya kusaini Posho. Hata kama litajitokeza swali liailohusiana na wizara husika DED ni overall atajibu badala ya Mkuu wa Idara isiyohusiana na Waziri.
 
Hawa viongozi ni hamna kitu kabisa
Hivi wasaidizi wa Rais huwa hawaoni urefu wa misafara yao na kuuliza nyie wote mna kazi gani? Hao mawaziri/manaibu hawaoni wakuu wa Idara wasiohusiana nao kwenye misafara yao na kuzuia? Wananchi wanakosa huduma inayohitaji mil.15 tu lakini ziara moja ya Naibu waziri inatafuna mil.9?
 
Eti walikuwa wanahadaa wananchi kuwa wanapenda uwazi. Cha ajabu hakuna anayefahamu kwenye mkataba kumeandikwa nini, zaidi ya kusubiri kihadithiwa kilichomo kwenye mkataba.
 
Back
Top Bottom