Lisandro Martinez
1710867130261.png
 
Huyu mwanahisa mpya wa manchester united akimpa kazi Southgate kuwa kocha wa manchester united itaniproove kuwa waingereza wa sasa ni watu wajinga tu


Southgate akiwepewa kazi kuwa maneja wa manchester united basi tutatarajie itachukua miaka mingine kumi na tatu kutafuta taji la EPL

Naomba ziwe tetesi tuu
 
Yaani kocha aliwaza nini akawarudisha winga...kiungo mshambuliaji nyuma??

Mjuzi yyt tafadhali
Tushafungwa na liverpool anacheza counter attack no way lazima ujilipue.

Mana hatuna cha kupoteza, na tushafungwa so tutafute kupambana.

Matokeo yake kila mtu alokuwa ndani ana mentality ya mbele ndo kilichotokea, timu zote bora kwa epl ambazo ni liver na man city ukizipelekea moto kila mara hupaniki.

Mawazo yangu bro.
 
Erik 7+3hag kila press yake lazima aitaje Arsenal

Mwambieni hapo OT tutampiga biila Ganzi ili awe anatuota kabisa
20240322_110450%20(1).jpg
 
Back
Top Bottom