Kwa timu hii ya kina Garinacho na Rashid makameHamchukui point 3 nyumbani kwetu, tunakupasua bao 2 na kukukatisha tamaa mazima.
Shida sio kutufunga, kama kutufunga mshatufunga sana kwa kipigo mpaka cha 8-2Yaani hakuna timu nyepesi kuifunga na kuipiga Sako la nyani kama manjesta ya tapeli 7+3hag View attachment 2942263

Safari hii tutawapa kipigo cha mbwa mwiziShida sio kutufunga, kama kutufunga mshatufunga sana kwa kipigo mpaka cha 8-2
Sisi tunauliza hio timu yenu itajengwa kwa karne ngapi?
Kila msimu wenzenu wananyanyua makombe halafu nyie bado mnajenga tu timu, kuna watu humu kama kina arsenal2004 tokea wamezaliwa mpaka sasa hivi nao wanaitwa baba hawajawahi kushuhudia timu yao inabeba makombe makubwa, maskini ya Mungu wanaishia kuona Liverpool, Chelsea, Man Utd, Man City, Crystal palace wanabeba Epl wao udenda unawatoka.
Wanawaona Chelsea, Liverpool, Man Utd, Mancity, Westham wanabeba makombe makubwa ya Ulaya halafu wao wanaishia kubeba Emirates Cup na Misinia ya ugali.
Badilikeni ndugu zangu tafuteni kocha wa kueleweka, na sisi tunapenda kuwaona mkiwa na furaha, sio kila mwisho wa msimu mnaishia kutukanana wenyewe kwa wenyewe humu, ila kwa mtindo wenu huu wa kung'ang'ania mid table coach anae wadanganya kwa phase zisizoisha nina uhakika arsenal2004 anaweza kujukuu bila kushuhudia timu yake pendwa inabeba kombe lolote la maana zaidi ya kujisifia tu GD, Pressing na Overloading, positional interchange pamoja na aerial duel![]()
Kwa kweli leo nimekuwa nikipitia highlight za Maino na Garnacho nimegundua timu yetu kwa muda mrefu imekosa wachezaji wa aina hii na hawa ndio wanauwezo wa kucheza style ya kipa Onana.Garnacho ba mainoo ni ballers. Hatari sana.
Kabisa mkuu timu yetu inawatu wazuri ila hatujui namna ya kuwatumia.Jamaa anatakiwa aanze na hoijlund pale mbele
Haijawahi kunyanyuq kwapa. Basi itakuwa na shidaShida sio kutufunga, kama kutufunga mshatufunga sana kwa kipigo mpaka cha 8-2
Sisi tunauliza hio timu yenu itajengwa kwa karne ngapi?
Kila msimu wenzenu wananyanyua makombe halafu nyie bado mnajenga tu timu, kuna watu humu kama kina arsenal2004 tokea wamezaliwa mpaka sasa hivi nao wanaitwa baba hawajawahi kushuhudia timu yao inabeba makombe makubwa, maskini ya Mungu wanaishia kuona Liverpool, Chelsea, Man Utd, Man City, Crystal palace wanabeba Epl wao udenda unawatoka.
Wanawaona Chelsea, Liverpool, Man Utd, Mancity, Westham wanabeba makombe makubwa ya Ulaya halafu wao wanaishia kubeba Emirates Cup na Misinia ya ugali.
Badilikeni ndugu zangu tafuteni kocha wa kueleweka, na sisi tunapenda kuwaona mkiwa na furaha, sio kila mwisho wa msimu mnaishia kutukanana wenyewe kwa wenyewe humu, ila kwa mtindo wenu huu wa kung'ang'ania mid table coach anae wadanganya kwa phase zisizoisha nina uhakika arsenal2004 anaweza kujukuu bila kushuhudia timu yake pendwa inabeba kombe lolote la maana zaidi ya kujisifia tu GD, Pressing na Overloading, positional interchange pamoja na aerial duel![]()
kuna siku utakuja mkataa huyo garnachoKwa kweli leo nimekuwa nikipitia highlight za Maino na Garnacho nimegundua timu yetu kwa muda mrefu imekosa wachezaji wa aina hii na hawa ndio wanauwezo wa kucheza style ya kipa Onana.
Kwa kweli hawa vijana wanauwezo mkubwa sana wa kumiliki mpira na wana akili nyingi sana na maamuzi yaliyo sahihi yaani wakiwa na mpira ni tishio na hata wakiwa hawana. Namuona Endrew Pirlo ndani ya Maino. Combination hii itakuwa hatari sana akiongezeka Greenwood maana style yake ya uchezaji inafanana na Garnacho na huwa akipiga shoot on target 2 moja chuma. Kuna haja ya kuaanza kuwaondoa wachezaji aina ya kina Rashford na Martial wasije kuwafundisha uvivu hawa vijana.
Lakini huwezi kuamini kuwa hii mechi Liverkuku alikufa pamoja na kumpanga Bruno na Anthony kwenye backline ya United. Mpira ni mbinu ya kupata point 3 mkuu usilazimishe wote tucheze Artetaball.Ni wachache sana tuliona utapeli wa huyu jamaa
Hapa wanasingiziwa Grazzer family
Na hii ni week and week
View attachment 2945306
Tunazungumzia kushinda au tunazungumzia utapeli?Lakini huwezi kuamini kuwa hii mechi Liverkuku alikufa pamoja na kumpanga Bruno na Anthony kwenye backline ya United. Mpira ni mbinu ya kupata point 3 mkuu usilazimishe wote tucheze Artetaball.