Bachelor OG
JF-Expert Member
- Aug 27, 2022
- 1,196
- 1,463
Operation ni kuifilisi Manchester United
️
mbovu mbovu shenzi type kuangalia Manchester United kama big team ni nonsense
katika football
️
Kupoteza masaa mawili kuangalia mechi yetu kwa sasa ni uwendawazimu.Mna football️
mbovu mbovu shenzi type kuangalia Manchester United kama big team ni nonsense
katika football
️
Yani brentford kagusa more than 80 touches kwenye box lenu ni hatari sana hii aiseeKupoteza masaa mawili kuangalia mechi yetu kwa sasa ni uwendawazimu.


Ila hii timu yetu aaiseee



ipo siku mtaelewa ,huyo kocha hata apewe Prime Barcelona au ile Brazil ya mwaka 1970 ,Bado atacheza hivo hivoWe have faced 184 shots in our last 8 games
🤣🤣🤣Manchester United inacheza Leo na dunia nzima ina furaha
my prediction
Brentford 1 vs Manchester United 4
Time
5:00 usiku
watapigwa Sana wale.


Nilikupinga kuhusu ten hag ila sasa naona.Brentford ana touches 85 ndani ya box la manjesta
Ina maana kila baada ya dakika 1 jamaa walikuwa wanafika ndani ya box la Manjesta,
Hii ni hatari sana
Wanasema ni record kwa kipindi hiki cha miaka mitano
Imagine hii timu ya aina gani ,ni mbovu kiasi gani
Kila dakika upo golini kwao
View attachment 2949598