D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,636
- 121,032
Kobbie mainoo ameitwa timu ya wakubwa
Sisi fullbacks wetu hawa invert kuingia kwenye midfield tukiwa tukienda kushambulia tunapoteza defensive shape yetu kwa sababu ya wachezaji wengi kutokuwa wazuri individuallyUTD Pia ina shida kwenye FFP kwa hiyo kuna uwezekano Pia kushindwa fanya sajili nyingi. Kuna wachezaji tegemezi ila kama wameshakuwa mzigo Akiwamo SHAW. Tunaweza enda enda nae kumkomaza HARRY AMASS.
Academy imekuwa jibu sana kwa miaka mingi. Amass anaweza kuja okoa Pesa Mingi. INEOS wafanye namna tumpate yule Melvin Bard hata kwa 25m kwenye ile timu yao. Upande wa Kushoto umekuwa tatizo sana msimu huu.
Tatizo la Rest Defense ni kwa sababu Pia hatuna CB's wanaokuwa wazuri kuzuia zile wide channels 1v1 {VVD, DIAS, SALIBA, n.k} na kuanza mashambulizi hapo hapo, Pia DM Mwenye uwezo wa kufanya Screening ~ Casa sio Yule tena, Imefanya tumekuwa na aina ya magoli ya kufanana inapigwa "V" Cut back, Opponent anachagua tu Angle hana wa kumghasi inaishia kuwa Deflection ama GK kuangalia tu. Sajili tunahitaji 1st 11 kwa Kuanzia {RCB, DM, RW, (LCB n LB)}
Lisandro Martinez
View attachment 2939198
Utapeli hauishi dunia hii.Huyu lisandro ikifika international break anakua sawa ligi ikirejea anapiga gama zake mbili tu za kibabe anarudi hodini mpka international break Tena nyengine
DadaaB... uwe unaniomba niwashangilie kila siku, sawa eeeh?
Mdakuzi
Ilikuwaje mkamsajili Sterling ?Wazee leteni pesa kidogo tuwauzie mashine ya kazi STERLING kufidia hasara ya MOUNT.
Utafutwe unyongwe wewe sio bureWazee leteni pesa kidogo tuwauzie mashine ya kazi STERLING kufidia hasara ya MOUNT.
Utafutwe unyongwe wewe sio bure

Tushafungwa na liverpool anacheza counter attack no way lazima ujilipue.Yaani kocha aliwaza nini akawarudisha winga...kiungo mshambuliaji nyuma??
Mjuzi yyt tafadhali
Natamani wakimfukuza Kipara wampe timu Southgate....hyu atawasogeza kidogo ManunuAfter ETH anayefata ni tapeli Southgate
ETH hafukuzwiNatamani wakimfukuza Kipara wampe timu Southgate....hyu atawasogeza kidogo Manunu