Shida sio kutufunga, kama kutufunga mshatufunga sana kwa kipigo mpaka cha 8-2
Sisi tunauliza hio timu yenu itajengwa kwa karne ngapi?
Kila msimu wenzenu wananyanyua makombe halafu nyie bado mnajenga tu timu, kuna watu humu kama kina
arsenal2004 tokea wamezaliwa mpaka sasa hivi nao wanaitwa baba hawajawahi kushuhudia timu yao inabeba makombe makubwa, maskini ya Mungu wanaishia kuona Liverpool, Chelsea, Man Utd, Man City, Crystal palace wanabeba Epl wao udenda unawatoka.
Wanawaona Chelsea, Liverpool, Man Utd, Mancity, Westham wanabeba makombe makubwa ya Ulaya halafu wao wanaishia kubeba Emirates Cup na Misinia ya ugali.
Badilikeni ndugu zangu tafuteni kocha wa kueleweka, na sisi tunapenda kuwaona mkiwa na furaha, sio kila mwisho wa msimu mnaishia kutukanana wenyewe kwa wenyewe humu, ila kwa mtindo wenu huu wa kung'ang'ania mid table coach anae wadanganya kwa phase zisizoisha nina uhakika
arsenal2004 anaweza kujukuu bila kushuhudia timu yake pendwa inabeba kombe lolote la maana zaidi ya kujisifia tu GD, Pressing na Overloading, positional interchange pamoja na aerial duel

