Mchezo mzuri toka mwanzo.
Leo upepo haukukata kipindi cha pili.
Kuna maendeleo toka kwenye timu game after game. Na hata mchezaji mmoja mmoja nimeona mabadiliko kasoro Greenwood mchoyo.
Maana ya kumiliki mpira nayotuelezea Ralf tumeiona leo.
GGMU
 
Aiseeh beki zimenifurahisha sana leo, Dalot na Telles wanafanya Maguire na Rafael wasiwe na kashikashi kitu ambacho huwa kinafanya wachomeshe.

Sijui kwanini Ole alikuwa anawapiga benchi.
 
Back
Top Bottom