Bila shaka Man United ni timu kubwa hivyo inatakiwa kucheza kwa mamlaka kama ilivyocheza leo.Ni duo ipi unaikubali?
Dalot& Telles au Shaw&Bissaka.
Dah! engineer hongereni kwa kubebwaSomaaa hiyo
Ngapi huko engineer
#GGMU
Mbona VAR imekubali kuwa ni goli mkuu?goli la mchongo lile wazee,.sema muhimu point tatu
Greenwood anakera sana, sijui kwanini hakui ana kipaji sana huyu dogo.. all in all kiasi leo team imebadilika, makosa yapo ila kwa kiasi fulani unaona watu wanabadilika.. point 3 muhimu sana za leoMchezo mzuri toka mwanzo.
Leo upepo haukukata kipindi cha pili.
Kuna maendeleo toka kwenye timu game after game. Na hata mchezaji mmoja mmoja nimeona mabadiliko kasoro Greenwood mchoyo.
Maana ya kumiliki mpira nayotuelezea Ralf tumeiona leo.
GGMU
wanao iendesha hiyo VAR ni binadamu, wamefunika kombeMbona VAR imekubali kuwa ni goli mkuu?
Sio siri hata mimi leo amenifurahisha, ila mwanzo nilipomuona kwenye orodha ya kikosi cha leo nilikosa amani kabisa.Magwaya leo naona kwangu ndo man of the match amezuia sana leo hafu ajafanya ujinga ujinga kiufupi leo kaupiga mwingi.
Zitakuwa zimepasuka tayariTunaendelea kubana koro...ni
Sasa ni dakika ya 80
Threat ya kupoteza namba imefanya ajitathimin na kupunguza makosaMagwaya leo naona kwangu ndo man of the match amezuia sana leo hafu ajafanya ujinga ujinga kiufupi leo kaupiga mwingi.
Ndio tunataka hata kwa Ronaldo maana anajiona yeye hapaswi kuguswa sasa uwanjani si anakua mzito anatakiwa kuwa na dakika maalumu za kucheza sio whole 90.Threat ya kupoteza namba imefanya ajitathimin na kupunguza makosa
Mkuu umeongea kila kitu in a summarized way👏Kuna mtu pia atasema hata Maguire au Fred wakienda City watacheza vizuri..
Tusitafute excuses nyingi..
Udhaifu wa Ronaldo ni kwenye general link-up play..kashachoka..tukiukataa huu ukweli tutakuwa tunafanya makosa makubwa.
Next season kama atakuwepo basi inabidi awe mtu wa kucheza dakika 20 na mechi chache..Tutafute proper no9 mwenye quality zote.
Link-up play ndo kila kitu kule mbele..Ifike muda greenwood aanzie benchi. Huu Ujinga umezidi.
Martial licha ya Ubishoo hana ubinafsi kivile na analink nzuri nampongeza kwa mechi ya Leo ila afocus na mpira aache ubishoo na drama.
Ronaldo bana aaah nisiongee nisije popolewa mawe.
Timu bado sana tunahitaji improvement ya ukweli hasa offensively.
Hongera wakuu kwa Ushindi.
Kivipi mkuu?..sijakuelewa.Wenye timu yao wameshaanza kurudisha makali golini eeh