Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ni ngumu sana timu kuuza wachezaji dirisha dogo sababu timu zinataka ubingwa na kushiriki mashindano makubwa kwaiyo sitegemei man u tukifanya lolote dirisha ili lakini tuwe serious wazee kweli tuna wachezaji kama.

Martial

Cavani

Rashford

Ronaldo

Elanga

Sacho

Fernandez

Greenwood



Mnauakika shida ni wachezaji au kuna jambo lingine tu mbona hao wote walikotoka walikuwa wakali isije ikawa tuna mtafuta mchawi tusie muona ata hao watao kuja mnauakika wata fanya vizuri kweli.

Naona hii timu ina tatizo lingine tu ila sio la wachezaji.
 
Sasaaa, wewe unaona mfumo wa kocha unaruhusu kuwa na mchezaji aina ya Ronaldo, nimemsikia anazungumzia mambo ya counter attach, unamuona Ronaldo ana counter attach?

Anazungumzia intensity, being physical etc, unaona Ronaldo anahizo profiles? sasa kwa nini apangwe?

mimi nimekuelewa kwenye issue ya kwamba mkataba unataka lazima apangwe, tena labda unasema lazima acheze dakika tisini (sababu sio kwa kung'aka kule): sasa kama anaona masharti ya mkataba yanakiukwa basi achukue maamuzi?

na kama ni issue ya mshahara, nadhani we can afford the losses, akae benchi. Akae pale benchi mpaka atie akili, Kocha akiona akili yake inatengemaa, kuanzia beheviour mpaka kujiprofile na mfumo wa kocha, ampange, no problem.

lakini mimi ningependa sana kusikia kaambiwa anakaa bench kwa sababu ana negative characters, tena awekwe chini ya uangalizi wa wale masaikologists.

Aaambiwe, kwa sababu ile ni timu, how he relates with his colleagues ni very important kuliko yeye kufunga, aonyeshwe na namna tumefunga goli tano in past two matches na hakufunga yeye.
Nakubali CR7 ni tatizo kwa United lakini sio tatizo kubwa kama unavyolizungumza I think una personal issue nae
Still na hizo weakness zake hatuna striker anayemzidi CR7 kwa kufunga magoli bila yeye Champions league tungekuwa tumeshatolewa ,major problem ya United iko kwenye midfield (offensive & defensive) ndio maana ni rahisi wapinzani kumfikia De Gea na timu ina-create nafasi chache za kufunga magoli hii iko wazi game alizocheza na ambazo hajacheza CR7 .United haiwezi ku-control game ukilinganisha na City/Liverpool/Chelsea ndio maaana ni rahisi kufungwa magoli mengi ndani ya muda mchache.Our midfield hawana consistency McTominay/Fred/Bruno/Matic wanaweza akacheza mechi moja nzuri then mechi 4 zijazo wakapotea kabisa ,pia kubadilisha makocha mara kwa mara kumesababisha wachezaji wameshindwa ku-adopt formation za makocha kabisa
 
Kosi la dunia on the stage na dunia yote ina furaha sema kama magwaya anaenda kuaribu furaha uyu.
20220122_170344.jpg
 
Back
Top Bottom