Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,744
- 25,446
Ni ama Brentford hawakua serious mbele ya goli au De Gea amekua serious na kazi yake.
DDG alikuwa siriaz na kazi yake
Ni ama Brentford hawakua serious mbele ya goli au De Gea amekua serious na kazi yake.
Huyu wa sasa ni merit based coach.Bora Ole kuliko huyu anae Vaa miwanj ya mbao.
Huyu wa sasa ni merit based coach.Bora Ole kuliko huyu anae Vaa miwanj ya mbao.
Huyu wa sasa ni merit based coach.Bora Ole kuliko huyu anae Vaa miwanj ya mbao.
Yaani pamoja na kushinda bado una mlaumu kocha wenu aliye wafundisha TT na Klop daah......😎😎Tunashindwa ingia top four.
Kuhusu kocha wataamuaga wenyewe hukohuko.
Kipa hupimwa kwa kazi kama hizo, sio kipa anasifiwa kwa juhudi za mabeki kama yule msenegal.Nyie ingekuwa sio Degea saizi mngekuwa nafasi ya 20 huku nyumbu nyie
Huu sasa ndo huitwa, uchangudoa wa mpira.Kosa lenu ni moja tu, mmeanza nyie kupata goli.. sasa mechi inaenda kuchangamka.
Ni either umuondoe Ronaldo kwenye team yako lab sivyo utambembeleza tu, unashangaa huyu akati kuna yule mwingine aliposusia team ya taifa alibembelezwa hadi na serikali licha ya Argentina kujaa mastaa kibao.Huyu Rangnick kumbe mrembo tu..sasa alikuwa anamuomba msamaha wa nini Ronaldo?..
Sub yake ya kumwingiza Maguire ilikuwa ni ya hovyo ndio ila hakupaswa kumbembeleza Ronaldo.
Ronaldo alikua anacheka.Build up ya Goli la tatu, alichokifanya McTomminay ndicho tunahitaji week after week from kiungo ili tuwe threat zaidi na mambo ya back passes yafe. Tutafute kiungo sasa.
Maguire aendelee benchi.
Alafu Ronaldo aache ufala, sasa si alikua mzito mbele akipewa penetration passes anazidiwa mbio na mabeki.
Anyway licha ya Rashford kufunga. Haka katoto nakachukia sana kanavyoshindwa kukaba na kanapotezea mpira unampita.
Piga benchi.
Hatuwezi pata mshambuliaji mmoja na kiungo mmoja wa kazi kazi ili mambo ya kubembeleza na kuchekea watoto yaishe.
Tukipata mshambuliaji wa kazi kazi it's no doubt hakuna kubembeleza Ronaldo, maana kinachofanya awe hivyo naamini ni pale anapotolewa alafu unaingiza watoto waliojaa utoto kina Rashford ambao output yao hata haieleweki, mentality zero
So anaona kama Dharau, ila kukiwa na mtu wa ukweli ataomba kuondoka summer.
N.B. sipendi mchezaji awe mkubwa kwa team. Anaharibu atmosphere ya timu.
Siyo Mc Tomminay boss, aliyepoteza sana mipira ni Fred, hawezi kupiga ata simple passes. Na ule ufupi wake unamfanya awe kimeo kwenye kupambania mipira ya juuTelles na Dalot ni wazuri kwenye kumpandisha team kwenda kushambulia , shida yao wakipanda wanapanda wote hawarudi kwa wakati. Hii duo ya Telles na Dalot ni nzuri kuliko ile ya Bissaka na Shaw.
Eneo la katikati viungo wanapoteza sana mpira,haswa Mactominay.
Greenwood na Elanga bado wanahitaji muda, maana dribbling zao ni za kupotezae muda tu.