Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ronaldo abaki kufanya nini?
Ronaldo hawezi kuuzwa kwa sababu zifuatazo:

1. Ni legend wa club: Manchester United huwaambii kitu kuhusu ma-legend wao.

2. Hakuna club kubwa itakayomnunua Ronaldo, club ndogo hazitaweza kulipa mshahara wake. Labda aende Marekani ila Ronaldo ni mtu anayependa sana spotlight sasa kwa ligi ya Marekani hicho kitu hatakipata. Timu pekee ambayo inaweza kuwa na matamanio ya kumsaini Ronaldo ni Sporting: where it all started.

Kuanzia msimu ujao inabidi Ronaldo akubaliane na hali kuwa mpira wake ndiyo upo mwishoni na yeye kucheza dk 90 itakuwa ni ngumu sana. Ronaldo akitaka kustaafu kwa heshima basi awe na moyo kama wa Mata anaweza kukaa pale United hata mpaka akiwa na miaka 40 ila pia akitaka kustaafu kwa heshima arudi tu Sporting zaidi ya hapo hana namna.
 
Mpaka kipindi cha kwanza kinaisha Man U hatuna shut on target hata moja.
Timu inakatisha tamaa sana, yaani bila ya juhudi binafsi za kipa inawezekana kwenye msimamo tungekua hata kwenye nafasi ya 15 huko.
Ronaldo alikuwa anafanya nini?
Volatility naona legend wetu anakukwaza sana aisee.
Kwa kiasi fulani nakuunga mkono kwa kuwa RR anahitaji pressing kuanzia mbele,basi Ronaldo ni aidha aingie dakika za majeruhi tukishashinda au awe na baadhi ya mechi ambapo opponents watatuogopa tangu dakika ya kwanza.
Mpaka sasa hamna mtu duniani kaweza kufumbua fumbo la tatizo linaloisumbua man utd dakika za mwisho za mechi toka Fergie aondoke.alafu wewe unataka Ronaldo aingie dakika za mwisho.

Mechi ya jana RR kaishaonyesha namna atakuwa anadeal na jinamizi au pepo anayechafua hali ya hewa dakika za mwisho, ANAJAZA MABEKI, Jana kaanza na watano, mechi zijazo anaweza kuwa anaweka sita+
 
Ronaldo hawezi kuuzwa kwa sababu zifuatazo:

1. Ni legend wa club: Manchester United huwaambii kitu kuhusu ma-legend wao.

2. Hakuna club kubwa itakayomnunua Ronaldo, club ndogo hazitaweza kulipa mshahara wake. Labda aende Marekani ila Ronaldo ni mtu anayependa sana spotlight sasa kwa ligi ya Marekani hicho kitu hatakipata. Timu pekee ambayo inaweza kuwa na matamanio ya kumsaini Ronaldo ni Sporting: where it all started.

Kuanzia msimu ujao inabidi Ronaldo akubaliane na hali kuwa mpira wake ndiyo upo mwishoni na yeye kucheza dk 90 itakuwa ni ngumu sana. Ronaldo akitaka kustaafu kwa heshima basi awe na moyo kama wa Mata anaweza kukaa pale United hata mpaka akiwa na miaka 40 ila pia akitaka kustaafu kwa heshima arudi tu Sporting zaidi ya hapo hana namna.
hivi Ronaldo ni legendary man utd au Real Madrid ??
 
Build up ya Goli la tatu, alichokifanya McTomminay ndicho tunahitaji week after week from kiungo ili tuwe threat zaidi na mambo ya back passes yafe. Tutafute kiungo sasa.

Maguire aendelee benchi.

Alafu Ronaldo aache ufala, sasa si alikua mzito mbele akipewa penetration passes anazidiwa mbio na mabeki.

Anyway licha ya Rashford kufunga. Haka katoto nakachukia sana kanavyoshindwa kukaba na kanapotezea mpira unampita.
Piga benchi.

Hatuwezi pata mshambuliaji mmoja na kiungo mmoja wa kazi kazi ili mambo ya kubembeleza na kuchekea watoto yaishe.

Tukipata mshambuliaji wa kazi kazi it's no doubt hakuna kubembeleza Ronaldo, maana kinachofanya awe hivyo naamini ni pale anapotolewa alafu unaingiza watoto waliojaa utoto kina Rashford ambao output yao hata haieleweki, mentality zero

So anaona kama Dharau, ila kukiwa na mtu wa ukweli ataomba kuondoka summer.

N.B. sipendi mchezaji awe mkubwa kwa team. Anaharibu atmosphere ya timu.
Mnachekesha sn, ni kwamba hamjui mpira au kiburi tu, cr7 na Messi impact zao zilishatoka uwanjani now zipo kwenye timu nzima, fans hawataki kusikia kuhusu hao wachezaji wawili whether wacheze vzr au vby unatakiwa kuwabembeleza mana wanapochukia wao unaweza kuharibu ari ya timu, hilo mtake msitake liko hivyo na haliwezi kubadilika.
 
Mkuu, swali langu bado halijajibiwa hata kama yuko kwenye hiyo list?
kakaa muda mrefu timu ipi?
kaipa mafanikio makubwa timu ipi?

huyu Ronaldo yeye mwenyewe anasema hata ile style yake ya ushangiliaji ilianzia Real Madrid.
Kuwa legend sio lazima ucheze muda mrefu kwenye klabu kwa criteria yako Phil Jones,Valencia,Mata ni legends while kina Cantona,Mark Hughes,CR7,OGS sio legends
Kuwa legend inategemea na impact uliyokuwa nayo kwenye timu hata kama ulicheza muda mchache .Also ni possible kuwa legends kwenye timu zaidi ya moja Zidane (Juventus,Real Madrid),Kluivert (Ajax,Barca),Bergkamp (Ajax,Arsenal),Klopp (Dortmund,Liverpool),Cruyff (Ajax,Barca)

All in all wenye klabu wameamua kumuita legends still huwezi ku-question contribution aliyoifanya CR7,i think kina SAF,Gill,Rio,Evra,Wazza ndio wanaijua
 
Mchezaji pekee aliyeletea heshima klabu kwa kutwaa tunzo ya mchezaji bora wa dunia tangu uingereza iumbwe, hakuna mchezaji bora wa dunia aliyewahi kutokea ligi ya uingereza zaidi ya cr7 alafu jamaa anakwambia co legend, kashinda makombe yote unayoyajua akiwa na Utd ambapo hao ma legend anayewajua yeye hawajawahi kushinda, the way this person argues is very pathetic.
 
Now I understand the logic, no problem.

Ila tukumbuke Man utd sio team ya maveterani. Niko shocked sana na namna watu wanavyochukulia negative contribution ya Ronaldo kwenye team ki poa poa sababu ya historia yake, am real shocked.
 
Mchezaji pekee aliyeletea heshima klabu kwa kutwaa tunzo ya mchezaji bora wa dunia tangu uingereza iumbwe, hakuna mchezaji bora wa dunia aliyewahi kutokea ligi ya uingereza zaidi ya cr7 alafu jamaa anakwambia co legend, kashinda makombe yote unayoyajua akiwa na Utd ambapo hao ma legend anayewajua yeye hawajawahi kushinda, the way this person argues is very pathetic.
Mkuu, Naomba unielewa, we enjoyed those moments and they lasted. kwanini tunang'ang'ania kujificha kwenye kichaka cha historia wakati tuko matatizoni.
 
Ronaldo ALIFANYA MAMBO MAKUBWA KWENYE CLUB YETU: NAKUBALI.
Ronaldo ANAFANYA MAMBO MAKUBWA KWENYE CLUB YETU: NAKATAA
Ronaldo ATAFANYA MAMBO MAKUBWA KWENYE CLUB YETU: NAKATAA.

I think between those three lines. Let him prove me wrong, he has that opportunity now.
 
Timu iko nafasi ya saba, direction yake haiweleweki, ni kama inashuka na wakati huo huo ni kama vile inapanda, both at the decreasing rates, alafu mchezaji mmoja pendwa anacheza dakika arobaini na tano hakuna short on Target hata moja na bado anang'ang'aniwa eti sababu ya history yake.

It real sucks
 
huyu RR akimuanzisha huyo Ronaldo kesho, I will become very suspicious na hizo watu wanaita gengeni pressing zake.
 
huyu RR akimuanzisha huyo Ronaldo kesho, I will become very suspicious na hizo watu wanaita gengeni pressing zake.
Hana ubavu wa kumweka Ronaldo nje..

Kitendo cha kumuomba msamaha tu juzi baada ya kumpiga sub kinaonyesha hajiamini kiasi hicho tunachodhani.

Kocha kama Mourinho au Pep akikupiga sub na ukakarisika hadi kutaka kungoa kiti haangaiki na wewe.
 
huyu RR akimuanzisha huyo Ronaldo kesho, I will become very suspicious na hizo watu wanaita gengeni pressing
Hana ubavu wa kumweka Ronaldo nje..

Kitendo cha kumuomba msamaha tu juzi baada ya kumpiga sub kinaonyesha hajiamini kiasi hicho tunachodhani.

Kocha kama Mourinho au Pep akikupiga sub na ukakarisika hadi kutaka kungoa kiti haangaiki na wewe.
hahahahaha.

huyu RR atakuja ondoka hapo kama Tuchel alivyoondoka PSG.
 
huyu RR akimuanzisha huyo Ronaldo kesho, I will become very suspicious na hizo watu wanaita gengeni pressing zake.
Ronaldo hawezi kuanzia bench. Yani mpaka Ronaldo anasaini mkataba bila shaka moja ya vitu wamezingatia ni yeye kupata muda wa kutosha kucheza hata mshahara wake ni wa mtu anayetakiwa kucheza.

Mimi naamini Ronaldo kuwa chini ya kiwango inachangiwa na wachezaji wanaomzunguka. Ronaldo huyuhuyu ukimpeleka City utatamani awe kwenye timu yako. Manchester United matokeo yake mengi yanaamuliwa na individual brilliance na siyo kama team rejea mechi za UCL mpaka tulipofika ni kwasababu ya Ronaldo.

Kama Manchester United ingekuwa inacheza jinsi a proper football club should play usingeona madhaifu ya Ronaldo au kusingekuwa kabisa na huu mjadala. Kucheza kama team ni pamoja na kufukia makosa ya mwenzio na hicho kitu tunakikosa. Club kama Leeds au Brentford zina average players wengi lakini wanacheza kwa umoja.
 
Back
Top Bottom