Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

mwamba ana tamani kusepa
255654759291_status_a0b9a50b568344d4b997868a5272b3c5.jpg
 
Cristiano Ronaldo's representatives have told Manchester United that the 36-year-old Portugal forward will look to leave Old Trafford in the summer if the club fail to qualify for next season's Champions League. (Sun)
Huyu jamaa haoti kabisa kucheza Europa, nadhani ndomaana kwenye mechi za UEFA huwa anapambana sana kufunga.
 
✓Jana kikosi chetu kilichoanza kilikuwa na waingereza wawili tu..good.

✓Bado wachezaji wetu hawawezi kucheza kwa intensity na high physicality..dakika za mwanzo za game ya jana ni ushahidi.

✓McTominay inabidi awe anacheza kama alivyocheza jana..Fred anatoa assist game ya tatu hii mfululizo lakini aisee amedrop sana..kiufupi kiungo chetu bado sana.

✓Telles na Dalot ni wazuri kiasi tofauti na Shaw na AWB..but bado hawajafika level tunayoitaka.

✓Maguire,Sancho,Rashford,Shaw on the bench..waingereza na media zao moto utawaka very soon.

✓Ralf Rangnick kumuelezea Ronaldo kwa nini amemfanyia substitution ni ujinga mtupu..alitaka nani atoke??..huu ni udhaifu.
 
Wanaopaswa kuuzwa kuanzia dirisha dogo mpaka kubwa.

BAILLY
JONES
MATA
LINGARD
PEREIRA
MATIC
MARTIAL
CAVANI

Wengine wanaobaki hawana shida sana lakini lazima waletwe watu wenye uwezo zaidi ya tulionao kwenye maeneo haya:

DM (January)
ST
CB
RB
LW

Nategemea a busy summer transfer window, tupate watu siyo chini ya wanne lakini kati yao isiwe ni eneo la DM, eneo hilo linataka marekebisho mapema kabisa dirisha hili.
 
Imefikia mahala sasa tuombe golikipa bora wa msimu awe yule aliyefanya saves nyingi zaidi kuliko yule anayeweka clean sheets nyingi zaidi. Mtu kama Ederson,Allison,nk. wanakutana na shot on target 1-2 kwa mechi tena inakuwa sio threat sana ila ndio anatizamiwa kuwa golikipa bora halafu unamwacha DDG anayefanya saves hadi mikono inawaka moto.
Nadhani taasisi husika walifanyie marekebisho ili kuendana na uhalisia zaidi.
 
Wanaopaswa kuuzwa kuanzia dirisha dogo mpaka kubwa.

BAILLY
JONES
MATA
LINGARD
PEREIRA
MATIC
MARTIAL
CAVANI

Wengine wanaobaki hawana shida sana lakini lazima waletwe watu wenye uwezo zaidi ya tulionao kwenye maeneo haya:

DM (January)
ST
CB
RB
LW

Nategemea a busy summer transfer window, tupate watu siyo chini ya wanne lakini kati yao isiwe ni eneo la DM, eneo hilo linataka marekebisho mapema kabisa dirisha hili.
Ronaldo abaki kufanya nini?
 
✓Jana kikosi chetu kilichoanza kilikuwa na waingereza wawili tu..good.

✓Bado wachezaji wetu hawawezi kucheza kwa intensity na high physicality..dakika za mwanzo za game ya jana ni ushahidi.

✓McTominay inabidi awe anacheza kama alivyocheza jana..Fred anatoa assist game ya tatu hii mfululizo lakini aisee amedrop sana..kiufupi kiungo chetu bado sana.

✓Telles na Dalot ni wazuri kiasi tofauti na Shaw na AWB..but bado hawajafika level tunayoitaka.

✓Maguire,Sancho,Rashford,Shaw on the bench..waingereza na media zao moto utawaka very soon.

✓Ralf Rangnick kumuelezea Ronaldo kwa nini amemfanyia substitution ni ujinga mtupu..alitaka nani atoke??..huu ni udhaifu.
Ninaamini hatarudia kosa la kumpanga Ronaldo.
 
Mpaka kipindi cha kwanza kinaisha Man U hatuna shut on target hata moja.
Timu inakatisha tamaa sana, yaani bila ya juhudi binafsi za kipa inawezekana kwenye msimamo tungekua hata kwenye nafasi ya 15 huko.
Ronaldo alikuwa anafanya nini?
 
Volatility naona legend wetu anakukwaza sana aisee.
Kwa kiasi fulani nakuunga mkono kwa kuwa RR anahitaji pressing kuanzia mbele,basi Ronaldo ni aidha aingie dakika za majeruhi tukishashinda au awe na baadhi ya mechi ambapo opponents watatuogopa tangu dakika ya kwanza.
Sasa kuna timu inayoiogopa mwanitesa yunaitedi siku hizi?labda yanga

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom