unajua unachokifanya ni kumtafutia Ronaldo nafasi za upendeleo, yaani the best among the weakest.
hiyo top scoring yake anafair vipi kwenye EPL top scorer's list?
Hizi comment zako hazina chochote cha kufanya juu ya legacy ya Ronaldo na heshima aliyonayo kwa wapenzi wa soka duniani kote. Yule jamaa hâta asipokupa magoli atakupa Business, asipokupa Business atakuvutia attention way far na hao unaojaribu kuwa-praise humu.

Wewe weka tu akili sawa uendelee na mijadala mingine, kwenye soka hili (kwa zaidi ya miongo miwili) kuna wachezaji wawili tu wakunyooshewa mikono RONALDO na MESSI
 
unajua unachokifanya ni kumtafutia Ronaldo nafasi za upendeleo, yaani the best among the weakest.
hiyo top scoring yake anafair vipi kwenye EPL top scorer's list?
Mbn ckuelewi mkuu, nmekuambia yeye ndiye top scorer wa timu yetu sasa ni kazi kwako kukubali au kukataa, kuhusu chenga hilo mtajua nyinyi as long as anafunga basi anatendea haki namba yake, ambayo ni no.9 chenga cjui dribbling, umri mtajua wenyewe.
 
Kuna mtu anaekataa hilo?? Kuchuma amechoka lakini haiwezi kuwa sababu ya uchezaji mbaya wa Man UTD.
Hakuna fluidity kule mbele..mipira inafika na kupotea wewe hulioni hilo..

Mfano juzi kwenye mechi ya Norwich uliona jinsi gani kulikuwa hamna fluidity kule mbele..Ronaldo hawezi hata kugeuka apige pasi kwa mchezaji mwenzake pembeni,huoni hili ni tatizo..

Faida za Ronaldo kwenye kikosi chetu tumeziona na hasara pia zipo kibao..hatuhitaji kubishana kwenye hili.
 
Mbn ckuelewi mkuu, nmekuambia yeye ndiye top scorer wa timu yetu sasa ni kazi kwako kukubali au kukataa, kuhusu chenga hilo mtajua nyinyi as long as anafunga basi anatendea haki namba yake, ambayo ni no.9 chenga cjui dribbling, umri mtajua wenyewe.
Nimekuelewa, umeamua kumuevaluate Ronaldo on one and only one criterion, goal scoring. WHICH IS NOT FAIR EVEN TO HIMSELF.
 
Mashabiki wa Utd bhn huwa wkt mwingine wanashangaza sn, hawatidhiki, wanataka mchezaji atoke mbinguni kwamba asikosee mechi yoyote ile, na akipatia watampamba kwa kila nyimbo, akikosea lawama kama zote, ss mtu ni namba 9 na anafunga, mtu anakwambia apigi chenga, mwingine anakuambia hapigi pasi kitu ambacho ni uongo kabisa cz cr7 cku hz hakai na mpira, ss kama hakai na mpira huwa anaipeleka wapi km co kupiga pasi?

Tuwe na heshima bhn na tujifunze kuridhika japo kwa kdg tulichonacho mana wengine hawana kabisa.
 
Mbona kwa Ole hukuridhika kuwa nae..kwani tulikuwa hatushindi mechi mbili tatu??..
 
Ukiangalia trend ya statements za hovyo za ma agents wa baadhi ya wachezaji ni kama kuna syndicate ya kutaka kumfelisha cocha, lakini anawapa responses safi sana.

Anthony Martial wasn’t in the squad at Norwich, so can I check, is that a knee injury still? And, his agent came out on the weekend saying that he wanted to look at opportunities to leave the club in January. I just wondered about your thoughts on that…
"Well, I don’t communicate with agents via the media or the press. The player hasn’t spoken with me or with us about it. After the final training session before the Crystal Palace game, after having trained with the team, he informed the doctor and the medical department that the pain on his knee is too big. So, we have to wait and see, maybe he can train tomorrow but I have to speak to the doctor first. To be honest, what his agent has said in the media is not that much of interest."

Just following up on that, will you now speak to Anthony and get his version on what his agent has said?
"No, because then I’d react to what the agent has said. It should be the player. If a player wishes to go to another club, it should be the player who informs either the board or myself, whoever. I have never spoken to a player via media or agents."
 
Back
Top Bottom